Wachawi na magereza

Wachawi na magereza

MWAMFUPE

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
942
Reaction score
1,133
Salaam wakuu,

Leo naomba kujua kuhusu wachawi, je kwa nini huwa wanashindwa kutoka gerezani kama wakifungwa? Kwa nini hata wasijigeuze mende au mjusi ili watoke? Au ndio tuseme uchawi una sehemu zake za kuufanyia na sio popote?
 
wanapo kuwa gerezani kumbuka wanakuwa hawana tunguli,hirizi wala ungo..kabla ya kuingia lazima usachiwe.kwa ufupi wanakuwaga hawana vitendea kazi
 
Je mchawi mwenzao hawezi kuwapelekea huko jera,

je hawawezi kuvificha wakati wa kukaguliwa visionekane ili baadae wavitumie kutoroka wakiwa jera
 
Hawawezi kutoka kwa sababu shetani kashawakamata na hana mda wa kuhangaika nao. Kazi ya shetani huwa ni kuharibu tu na sio kuokoa. Na huwa hafati walio wake ila wasio wafuasi wake.
 
NHapa nimekumbuka story za jambazi Nyombi yule wa mbeya,
eti alikuwa na uwezo wa kujigeuza kuwa sisismizi akatoka pale gereza la LUANDA la Mbeya
 
wana uwezo wa kutoka na lazima warudi! ikumbukwe wanatoka ucku na kurudi kabla ya kupambazuka hawana uwezo wa kuondoka moja kwa moja!
magereza ni zaid ya ujuavyo
 
Duu wewe sio tu magereza hata bank huibi kichawi labda uje na mi smg....mmwage midamu
 
Wakifika tu wananyolewa nywele hivyo nguvu zote za uchawi zinabakia hapo mlangoni.
 
Salaam wakuu, leo naomba kujua kuhusu wachawi, je kwa nini huwa wanashindwa kutoka gerezani kama wakifungwa? Kwa nini hata wasijigeuze mende au mjusi ili watoke? Au ndio tuseme uchawi una sehemu zake za kuufanyia na sio popote?

Uchawi wa namna hiyo upo sana tu kinachowashinda wengi ni masharti unamkumbuka Osale Otango wa Tanga? Alikuwa hafungiki wala hakamatiki
 
mkuu dadavua kidogo basi

tuambie kuhusu Osale Otango.

Osale Otango alikuwa ni mwizi maarufu enzi za wakoloni huko Tanga yeye alikuwa anaibia wazungu halafu anaenda kuwagaiya waafrika maskini, na ilikuwa akitaka kwenda kuwaibia alikuwa anawapa taarifa kwanza kwa kupiga simu zile za kukoroga kwamba ataenda muda fulani kuiba au kula nao
Wazungu walikuwa wanaweka ulinzi wote wa wakati huo lakini ukipita ule muda aliosema anawapigia simu na kuwaambia kuwa keshachukua kitu fulani
 
Nimekutana na wawili walioweza kutoka gerezani kwa nguvu za kichawi.

Mmoja alifungwa kama leo, kesho yake asubuhi askari wakakuta kinyesi mbele ya mlango huku kufuri zito bado lipo mlangoni, walipofungua wakauliza, ni nani kanya mbele ya mlango na huku ulikuwa umefungwa, jamaa akajibu ni yeye. Akaulizwa alitokaje mpaka akaenda kunya kwa nje akajibu "niliamka usiku nikajikuta tu nimetoka nje ya gereza na kujisaidia kisha nikarudi ndani tena"

Siku hiyo hiyo akaachiwa huru asitoroshe wafungwa wengine. Alipoachiwa alienda kituo cha polisi na gunia la nyoka kulipiza kisasi kwa waliomkamata...ilikuwa patashika
 
!
!
anko una fiksi sana wewe, hahahahahahah
 
Duh
hadi nimecheka
 
Ningekua na namba yako ningekutumia 700 ili 500 ununue juice halafu miambili yakutolea
 
Back
Top Bottom