Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

Alafu itawasaidia nini?
Wachawi wanaenda mbeya na kurudi dar ndani ya dakika 4 tu ambapo hata F35 fighter jet haiwezi, wachawi Wana radar Kila unapoenda Kwa mganga wanajua na wanaenda kumpa pesa hata FBI au CIA HAWANA intelejensia Kali kama wachawi.

Kama unabisha hapo naleta ushaidi
 
Mama yako ni Mganga?
 
Utapeli huo,

Wachawi na waganga ni vitengo tofauti bosi wao mmoja, sawa na FBI NA CIA ,

Hapo ni either wamekuja nacho hao waganga

Au ni kweli wachawi walikiweka ila kuwaita waganga wakitoe ni Bado upo kwenye cycle Yao

Au ni wewe ni tapeli unatafuta watu wakufate DM ,au unatangaza biashara ya utapeli wa uganga kiaina

Karibu kwa Yesu uombewe ,usiende kwa Hawa manabii maana ni kampuni moja na hao waganga ,utofauti wao wanavaa suti
 
Mkuu hao wachungaji hawahawa Wala kondoo au wachungaji Gani unazungumzia?

Mkuu waganga wapo na wachawi wapo kama unaamini kuhusu dini hili nalo lazma uamini
 
Mkuu hao wachungaji hawahawa Wala kondoo au wachungaji Gani unazungumzia?

Mkuu waganga wapo na wachawi wapo kama unaamini kuhusu dini hili nalo lazma uamini
Ndio maana nimesema hapo Hawa wanaojiita manabii ni sawa na hao waganga,

Wachungaji wa kweli wapo na wahuni wapo

Waganga na wachawi ni wamoja

Binafsi wachawi na waganga wananiogopa sana

Nimetoka juzi tu hapa kumkomesha mama mmoja ni mchawi, nilipanga nyumba yake bila kujua kama ni mchawi, madalali waliniingiza chaka.

Nikasema siwezi kumkimbia mchawi, yeye ndiye anikimbie, mkataba wa miezi minne, cha ajabu kanirudishia pesa yangu nihame, maana kipigo alichokuwa anakutana nacho ni Siri yake
 
Maoni yako hayapaswi kupuuzwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…