Wachawi tukutane hapa


1.sijawahi kuila kwaiyo sijui mkuu
2.wao ndo wataniona uchi lakini wew huwezi sababu huna nguvu(dark power)
 
Wachawi na wanga tofauti?
Ili kama wanga wapo pia wajue wakakutane wapi
Wachawi=wanadhuru, wakurestisha in peace kabisa ukilemaa.
Wanga= wazinguaji, wanaweza kukuingiza nyoya la kuku skioni. Kukujaza gesi tumboni ili ijambe tu au wanaweza kukutia vidole kwenye masaburi!![emoji13] [emoji13] raha yao wakuone ukihangaika!

Note; kuna mtu amenielekeza, sjui kama ni kweli!
 
Duuh kwahyo bora kuwa mchawi au mwanga? Ukiambiwa uchague kimoja wapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…