Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Naomba nikuletee list ya wachezaji bora kuwahi kutokea katika bara la Afrika.
Nimepitia kumbukumbu kwa wale wa zamani sana na wengi kuanzia mwaka 1996 nimewaona wakicheza.
Vigezo vilivyotumika ni mafanikio kwenye tuzo binafsi, mafanikio kwenye timu walizochezea na mafanikio kwenye timu za taifa.
Hawa hapa kumi bora:
1. George Weah
2. Samuel Etoo
3. Didier Drogba
4. Abedi Pele
5. Yaya Toure
6. Roger Milla
7. Nwanko Kanu
8. Mohammed Salah
9. Michael Essien
10. Sadio Mane
Nimechambua kutoka idadi ya wachezaji 45 ambao vyanzo mbalimbali vimewataja. Angalia waliobaki ambao hawakufikia vigezo kuwepo kumi bora hapa chini:
Okocha, Mahrez, Sammy Kuffor, Geremi, Seydou Keita, Lauren, Aubameyang, Adebayor, Yakubu, Frederic Kanoute, Radebe, Rigobert Song, Mustapha Hadji, Kolo Toure, Mikel Obi, Muntari, El Hadari, Aboutrika, Hossam Hassan, Ezzaki, Ahmed Hassan, Kalusha Bwalya, Diouf, Gyan, Foe, Ikpeba, Amokachi, Mboma, McCarthy, West, Enyeama, Oliseh, Amunike, Majder na N'kono.
Maelezo kutokana na argument juu ya Okocha
Naona mashabiki wengi wanamtaja Jayjay Okocha lakini wakuu namba hazidanganyi. Okocha hajawahi kuchukua tuzo ya mchezaji bora Africa hata mara moja na ameingia nafasi ya tatu mara mbili 2003 na 2004 akiwa nyuma ya Etoo na Drogba.
Je mnataka kusema alionewa? Kwamba watu miaka ile hawakumuona? Okocha hajawahi kubeba kombe lolote kubwa kwenye ligi na timu alizochezea.