Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

Hivyo unafikiri nini serikali ya marekani itafanya..? na vipi maandamano ya raia huko marekani unafikiri yatafua dafu..?
 
Hivyo unafikiri nini serikali ya marekani itafanya..? na vipi maandamano ya raia huko marekani unafikiri yatafua dafu..?
Trump atashusha kitenesi hizi zote ni tishatisha zake aweze kuoata as many concessions as possible kutoka China.

Ila Mchina naye kashamjulia anamkazia hapo hapo.

Trump atashusha tu tariffs, hawezi kuendelea hivi stock markets zikianguka na chumi za dunia zikielekea kwenye recession.

It is clear there was no strategic thinking going into this.

It was a sheer egomaniac move.
 
Mhh
 
Nimeona clip jana akiwa na matajiri wenzake akitaja kuwa huyu katingeneza 2.5 billiom dollars, huyu 900 milion dollars not bad not bad. Ndiyo maana kuna madai kwamba Trump na wenzake wanafanya trading wakijua maamuzi atakayofanya.
 
China anauza Marekani takribani Dola bilioni 500 huku Marekani ikiuza china Only dollar bilioni 140 pekee unaona trade deficit hapo?
Soko lingine analouza kwa kiasi hiko cha $140B ni lipi?. Inaonekana wazi kuwa hata US yenyewe haiko tayari kulikosa hilo soko la Uchina.

Trade deficit kwa US haikwepeki maana industrial power yake haifikii ile ya Uchina.
 
Kampuni nyingi za Ulaya na Marekani zimeanza kukimbilia India na Mexico ili kukwepa rungu la Kodi. Hii pia ni habari njema kwa Tanzania na Afrika. Wachina ni washenzi sana.
Kampuni ngapi ? Hiyo habari njema kwenu ki vipi ? Mna huo uwezo wa kuzioffer kampuni za kimarekani faida ya kila kitu inazopata China ?

Au unafikiri viwanda vinasimikwa tu kama mshale
 
Vitu vya uchumi waachiwe wachumi sio kila mambo yanahitaji ushabiki wa Simba na Yanga.
 
Nimeona clip jana akiwa na matajiri wenzake akitaja kuwa huyu katingeneza 2.5 billiom dollars, huyu 900 milion dollars not bad not bad. Ndiyo maana kuna madai kwamba Trump na wenzake wanafanya trading wakijua maamuzi atakayofanya.
Trump amefanya hii wazi kabisa. Kuna tweet moja katuma wakati stock market zinafunguliwa anasema buy DJT (sticker ya stock yake).

Watu wakanunua, stock ikapanda sana.

That is market manipulation. This is a very serious crine huku US.

Huyu akimaliza urais tu wanaye.
 
"NOW IT'S A GOOD TIME TO BUY", nimeona Demos washaanza kum-dis kwamba jamaa analihadaa soko la hisa.
 
DJT pia ni Donald John Trump!

That is too easy to defend πŸ˜€.
 
Walishindwa kumu impeach, walishindwa kumfunga jela, walishindwa kumuua,

Na kwa taarifa yako wamarekani wengi zaidi wanampenda sana ndio maana wamemchagua 😁😁

Kwa haya anayofanya 2029 kuna chances kubwa Rais anaweza kuwa Republican mwenye vision ya Trumo, watu kama kina Vance, Rubio, n.k,

Upande wa pili hao Democrats wanajua nini zaidi ya kupenda kuwaingiza wanaume waliobadili jinsia kwenye michezo ya watoto wa kike ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…