Wachina wanasubiri Rais Magufuli aondoke kwenye bandari

Ndio maana kina zitto hawampendi Rais Magufuli ameziba ulaji wao
Mungu wangu. Sasa unambie hao ni watanzania ama majambazi yaloingia mkataba kama huo maana yake bandari ilikuwa inaua uchumi wetu. Zitto na Ndugai kuna kitu gani mpaka wanautetea huo mkataba.
 
Chadema ndio wanautetea mkataba wa kifisadi baada ya Rais Magufuli kuufutilia mbali
Kwanini unawalaumu Cdm katika hili sakata ?!. Waliokula rushwa kuingia mikataba mibovu ni hao hao wana Ccm . Na aliyezuia ni hao hao Ccm, sasa Cdm insinhiaJe humu ?! Au usipowataja siku haihesabiki ?! UNAKERA
 
Kuna haja gani kujenga bandari mbili katika umbali mfupi?

Akili za Chadema bwana, mtaishia hivyo hivyo
Huu mradi ulibuniwa na cdm? Mbona unakosa akili hivi? JK na serikali yake ndio waliosaini huu mradi na magufuli akiwa sehemu ya serikali hiyo! Usijotoe ufahamu ukidhani watu hawana kumbukumbu! Kajipange upya namna ya kuutetea ccm chovu!
 
10% ya Bashite na wenzake ndiyo imeshikilia uwepo wa Bandari ya Bagamoyo
 
Wewe mlugaluga ulisoma mashariti ya hiyo bandari ya wachina pale bagamoyo?

Au unabweka km mjinga
Hayo masharti na mkataba yalisetiwa na ccm so, jilaumuni wenyewe kwa kujiita walugaluga! Kwa kifupi mikataba yote ya kifisadi na kinyonyaji iliandaliwa na ccm na ndio maana ccm kinaitwa chama Cha mafisadi Hadi Sasa! Waombeni radhi watanzania kwa kuwaingiza kwenye mikataba ya kifedhuli na kinyonyaji!
 
Wewe kumbe ni giza totoro kichwani! Nyie ndio Chadema mnajiita wasomi!

Unajua kitu hichi kilichobuniwa na china?View attachment 1494413
Wewe mbweha ni kigezo kipi unakitumia kumuona mtu ni giza? Wewe mwenyewe ni kipofu mbumbumbu juha kilaza unawezaje kujua mapungufu yeyote? Huko CCM ndiyo wamekuteua kuwa ndiyo mwenye Akili? Kama CCM wanakuona una Akili hao wengine watakuaje?
 

Loooo naendelea kuitafakari...
Khaaa
 
We mlugaluga wacha nikuache na ujinga wako
Nchi ya Sirilanka ambayo ni developed country imepokonywa bandari na China kwa kushindwa kulipa mkopo wa ujenzi wa bandari!
Huo mkataba wa china ulikuwa wa kilaghai ni mpuuzi tu angeweza kukubali
Mkataba wa sirlanka haufanani na mkataba wa Bagamoyo acha ufala ujinga unao wewe mshamba wa mikataba, kikwete hakucopy mkataba wa Sirlanka aliandaa mkataba kulingana na mazingira ya Tanzania na ukanda wa Africa, upuuzi unao wewe mkataba wa china ulikuwa mzuri na kama kuna mapungufu ni kidogo ambayo yangeweza kurekebishika, wewe endelea kuvuta Bangi ukiwatengeneza propaganda za kishamba
 
Mwenyewe kipindi cha pili ataomba poa, anapenda sana dola
 
Una faida kiuchumi kuliko tulivotupa pesa Chato.
 
Una faida kiuchumi kuliko tulivotupa pesa Chato.
Pesa inayotumika kuwanunua wabunge madiwani wanachama wa upinzani kudhoofisha chadema gharama za chaguzi za marudio, zile bilion 12 alipiga Ndungai na zile Trilion 1.5 imepigwa na CCM Zingetosha hata kujenga Bandari ya kitalii Lindi meli za kitalii zitie Nanga watembelee mbuga kubwa ya nyerere na Lindi kukua kiuchumi.
 
Ndio maana kina zitto hawampendi Rais Magufuli ameziba ulaji wao
Wewe mbweha CCM walikuokota wapi? au cyprian Musiba na Le mutuz walikuja kukuchukua kijiwe cha Bangi maana hujielewi kabsa, nini kazi ya upinzani? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali iliyopo madaktari, sasa unataka Zito ampende mwenyekiti wa CCM ili iweje?
 
Bandari ya Dsm ipo kichochoroni imejibana sana kina cha maji ni kifupi sana, meli kubwa hazifiki hapo na hata zile meli kubwa za wasitani zikija hupanga foleni majini kusubiria kushusha mizigo kuna usumbufu mapungufu mengi kwenye Bandari ya Dsm ndiyo maana mataifa mengi yameikimbia Bandari hiyo na kuhamia mombasa kenya, Beira msumbiji, Namibia, Angola South Africa, kikwete aliona hilo ndipo akaja na wazo la Bandari kubwa ya Bagamoyo lakini wajanja wachache huko CCM wameikwamisha kwa kudai 10%
 
10% toka kwa wajanja wachache huko CCM ndiyo kikwazo cha Bandari ya Bagamoyo
 
Huu ni Ujinga, hata kama China wakimiliki hiyo Bandari Tatizo liko wapi? Duniani Kote bandari nyingi tu zinamilikiwa na Private Operators, Serikali kazi yake ni kukusanya Kodi Ushuru mbalimbali
 
Sio China tu anarondoe mtu wa msimamo kama JPM atoke, ila manyang'au wote wakiwemo "watasha".

The New Confessions of an Economic Hit Man by John Perkins - PDF Drive

Ukisoma shuhuda za John Perkins ametoa models kadhaa namna mikopo inakuja na econometrics ili kuwashawishi watawala wa nchi za ulimwengu wa 3 kusaini miradi kama uliotakiwa ufanyike Bagamoyo wakijua una nafasi kubwa ya kushindwa kulipa katika muda wa makubaliano; hivyo wanachukua walichojenga kwa hela zao na kukiendesha kwa muda ambao "wataona" unarejesha hela zao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…