Wachina wanasubiri Rais Magufuli aondoke kwenye bandari

Hao ni kina Membe na wenzake ndio wanataka kujenga bagamoyo. Hii jchi walishakula sana. Sasa Bas jamani.
 
Bandari nyingi uchochea uchumi,ujui ya bagamoyo itahudumia kaskazini,na Kanda ya ziwa,plus nchi jirani
Bandari sio Jambo Baya, tatizo la bagamoyo ni masharti ya mradi, China wanataka kumiliki sehemu hii muhimu ya nchi yetu Kwa muda wa miaka 100 na isitoshe hawataki Bandari yeyote Ile nyingine ijengwe au kuendelezwa..mkataba umejaa Nia ovu mwanzo mwisho,ni Zaid ya ukoloni.
 
Unawanyima raia uhuru wa mkifungua kesi kwa maslahi ya wengi.
 
Yametimia
 
Daah kuna manabii humu, mwishowe yametimia, bandari ya bagamoyo inakwenda kujengwa na wachina sasa. Hii nchi imelogwa tunarudi kulekule!!Nchi ya wanafiki akina ndugai wepesi wa kusahau nashangaa kwa nini hili jamaa walilichagua kuwa spika, ni zero brain kweli
 
Sasa kama Magufuli alikuwa na nia ya kuthibiti hili si angepeleka mkataba bungeni na kutafuta azimio la bunge kuukataa huo mradi?

Au angetunga sheria ya kupiga stop huo mradi
Mbona hakufanya yote hayo?
Ninachojua Magufuli aliingia madarakani kwa mbwembwe na kupiga chini mipango mingi ya JK, ila baadae ngoma ilipomshinda akaanza kurudi mlemle, mfano mzuri ni SGR, Mwanzo aliwanyima wachina mradi, baadae akaamua kuwapa wajenge kipande kikubwa tu
 
Hivi Mama samia hana akaunti huku nimtag???
Hii matter ya muhimu sana,hapa nakumbuka Faza alipenda sana kutuambia sio kila mtu anatupenda, asa tukijifanya tunapenda sana kupewa pewa tutaliza wajukuu na vitukuu huko mbele wakati huo hao machainizi ambao tunaaminishwa kuwa ni marafiki zetu tangu uhuru watakuwa wanakula bata tu
 
Halafu jamaa anahimiza kwa nguvu kabisa mradi uendelee...hapi hatuna spika kwakweli
 
Ndugu yangu watanzania wengi hawana uwezo wa kuona mambo kwa upana wake,

Nasikitika kuona wanakimbilia miradi kama hii
 
Kwanini magu hakuufutia mbali kama kweli alikua na nia njema? Au hakua rais?
 
Kwanini magu hakuufutia mbali kama kweli alikua na nia njema? Au hakua rais?
Huyu mzee alikuwa wa kuongea sana action zero, ndo maana pamoja na vitisho vyake watu bado wamejipigia hela sana tu,CAG kaonesha yote

Hiyo point niloitaja hapo aliyoisema inamake sense sana sema yeye mwenyewe sasa sjui alikuwa na ajenda gani kukaa kimya...nimesikia na kwny SGR aliwakazia fuvu wachainizi ila mwisho akawapa mkataba kutengeneza portion fulan kubwa tu
 
Kama kweli Magufuli ndio alisitisha huo ujenzi wa bandari ya Bagamoyo basi Magufuli akiondoka hiyo bandari itajengwa, vinginevyo hiyo bandari haitajengwa hata kama Magufuli hatakuwepo madarakani.
 
Duhh...
Naanza kuwaza mambo ya ajabu kabisa....
May be...just may be.. The X didn't die a natural death...

Damn it this country.
Nikuunge mkono

Hiki kifo hiki???

Kweli hitirafu ya umeme wa moyo, watwambie TANESCO wanahusika.



Nimefika mbaaaaaaaaaaaaali sana ki mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…