Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Hakuna facts yoyote iliyoandikwa
angalia anachoandika mshamba_hachekwi ana hoja zenye mashiko
Huwezi kufananisha na pumba za Imeloa
Wewe endelea kutetea ujinga sio kosa lako huenda nawe ni wale wale
Hakuna anayepaniki tunataka watu wanaongea factsNi kwanini sheikh wangu una kisirani, makasiriko, kidambwitiko na mgagasiko wa moyo na akili? Tulia tu wala haina haja ya kupaniki. Sisi wote ni waafrika. Au wewe kujiita hivyo tayari unajiona ni mchina? Usitokwe na povu. Mjibu jamaa kwa facts
Umepaniki usibishe dogo. Kunywa maji utulie. Halafu jifunze kwa mwenzio bila mihemko.Hakuna anayepaniki tunataka watu wanaongea facts
Mkiwa na uchumi mzuri mtasumbua mfumo.Kwann nass HUKU Tanganyika tusikop na kupaste?
Harvard - Undergraduate 3.9 hadi 4.0 GPANasikia kuingia Tsinghua ni balaa mno, wanaingia chini ya 1% ya wanaofanya GaoKao.
Wachina wanaosoma kule wanaheshimika kinoma.
Sawa nimepaniki kwa sababu ya ujinga unaondikwaUmepaniki usibishe dogo. Kunywa maji utulie. Halafu jifunze kwa mwenzio bila mihemko.
Sema tu wameandika unayopenda kusikia na hao wengine wamendika usiyopenda kusikia.Hakuna facts yoyote iliyoandikwa
Angalia anachoandika mshamba_hachekwi au baba-mwajuma wana hoja zenye mashiko
Huwezi kufananisha na pumba za Imeloa au salari
Wewe endelea kutetea ujinga sio kosa lako huenda nawe ni wale wale
Vitu vingine havihitaji kufikiria sana ushawahi Mmarekani au western citizen akiwa chinga kariakoo ? Hivi wanaosifia wachina waishawahi kuona wanavyoishi huko Chunya, Geita na Congo ? Juzi juzi hapa kuna mchina kafukiwa na kifusi kwenye mgodi.Inabidi tukae na tujiulize. Wamepigwa stop hadi Uswisi, Austria na baadhi ya vyuo huku ujerumani hasa top universities.Mkuu
hii sio kweli
vyuo vingi vya china bado saana
Publications, groundbreaking technologies zipi umeziona zimetoka china?
China wewe come up with your product kwa mass production nend akwao kutokana na cheap labour
hakuna lingine lolote
hata Chinese best brain hawataki kufanya kazi kwo mbona tunakimbizana nao huku duniani
Endelea kukung'uta kwa mbaali bado anapumua huyuHarvard - Undergraduate 3.9 hadi 4.0 GPA
Tsinghua - Undergraduate 3.5 hadi 4.0 GPA
Si kweliSema tu wameandika unayopenda kusikia na hao wengine wamendika usiyopenda kusikia.
Unamaanisha nini?Harvard - Undergraduate 3.9 hadi 4.0 GPA
Tsinghua - Undergraduate 3.5 hadi 4.0 GPA
Sawa mheshimiwa Rais, XiSi kweli
Mheshimiwa Rais ina maana huelewi maana ya hizo GPA?Unamaanisha nini?
Zinamaanisha nini toa ufafanuzi sijakuelewaMheshimiwa Ris ina maana huelewi maana ya hizo GPA?
Unakosea mkuu, sijaribu kulinganisha harvard na tsingua.Harvard - Undergraduate 3.9 hadi 4.0 GPA
Tsinghua - Undergraduate 3.5 hadi 4.0 GPA
Nitajie mtoto wa waziri mmoja tu ambaye mwanaye yupo St. Kayumba hapa Tanzania.Kama mtoto wa Xi yuko huko, ina maana wachina hawaikubali elimu yao?
Sawa nimepaniki kwa sababu ya ujinga unaondikwa
Usipaniki. Ujinga haupanikishi. Facts ndo huwa zinafanya watu wapaniki. Pia jifunze kusikia hata yale usiyoyapenda na elimu inatutaka hivyo. Bishaneni kwa hoja na si viroja.
Umesema kuingia Tsinghua ni mziki sana. Nimekuwekea GPA wanazohitaji kila chuo kwa admission ya undergraduate. Sijasema unavilinganisha hivyo vyuo, ila nimekupa support ya fact ujionee kama uko sawa.Unakosea mkuu, sijaribu kulinganisha harvard na tsingua.