Wachina watoka machozi ya damu-TRUMP Azuia Havard Kudahili wageni


Acha kukariri;
Kwa kuwa ulisikia Harvard ni chuo kizuri ukafikiri Duniani hakuna chuo kama hicho?
Duniani vipo vyuo vikuu vingi tu vizuri sana na ujue Chuo kilicho kuwa Bora mwaka 1990 sio lazima kiwe bora hivyo hivyo mwaka 2025 na ndio sababu hizo rank za ubora hubadilika badilika ila watu ambao hamfuatilii ndio mnaendelea kukariri

Labda nikupe mifano ya baadhi ya vyuo vikuu bora kabisa Duniani...
Oxford; Cambridge; Imperial; Massachusetts; Havard; Califonia; Peking; Columbia; etc.
 
China leads the globe in production of scientific research, a position held by US since 1945. Chinese scientists are among the most cited even in the US.

But again, there's no amount evidence that can convince a Hollywood infested mind.

 

Only a fool would cheer such a suicidal move. 50% of PhDs in America are foreign born.

I know this cannot convince your Zionistic Hollywood Infested Mind, but atleast it would serve as evidence in judgement day, that we tried to direct you into the path of light.​
 
Xi Mingze ni kilaza mmoja tu
Xi Jinping mjanja anavijua vyuo vyao kuwa kiubora haviviwezi vya US akaona bora ampeleke binti yake Harvard (kitu bora hakijifichi data zinaongea na hata ukikichukia, ukikataa, ukiongopa haisaidii mzee wa kichina akaona cha kujivunga nini) ni kama tu viongozi wa CCM ukikuta wanavyosifia shule za kata au hospitali za serikali ila utasikia wanakimbilia kwenda ughaibuni kupata huduma za afya na kupeleka watoto wao feza na nyingine nzuri nzuri.
 
Salsa Mbona kila mwaka idadi Yao inakuwa kubwa kujiunga vyuo cya marekani toka hiyo 2014. Na Mbona wamarekani hawamiminiki na kuzamia na kusoma china jinsi wachina wafanyavyo Marekani?

Maelfu ya wahamiaji haramu wachina wamevuka mpaka wa Marekani na maxico kutafuta Maisha Bora. Umeshaona raia WA Marekani anafanya hivyo hata mmoja Tu?

Nyau de adriz
 
Karibu 50% za PhD marekani zina asili ya nje. Hata hivyo nadhani siku hizi dunia imepanuka, viko vyuo vingi vyenye miundombinu mizuri, hapo kinachotakiwa ni uwekwe mpunga kwenye hizo tafiti.
 
Wanenda kusomea ujinga kwa mujibu wa FaizaFoxy .
Elimu yetu ni hovyo kama ilivyo CCM.
Kwa ujumla hakuna cha maana, ni elimu karatasi; hizo za kupeleka shule za milioni 20+ ni mbwembwe tu.
Vinginevyo, kama zingekuwa na tija zingewawezesha ata kutengeneza sindano rungu za kubania karatasi.​
 
Mchina Hana elimu yoyote ya maana zaidi ni mjanja kwenye kucoppy na kupaste mambo kama yalivyo💯
Na wewe kakopi ufanikiwe. Mbona yule mama amekopi udikteta lakini ameshindwa na Kuumbuka haya kabla ya kufikia robo ya wale madikteta nguli.
 
Kwa ujumla hakuna cha maana, ni elimu karatasi; hizo za kupeleka shule za milioni 20+ ni mbwembwe tu.
Vinginevyo, kama zingekuwa na tija zingewawezesha ata kutengeneza sindano rungu za kubania karatasi.​
Pale D.I.T enzi hizo alikuwepo Prof. Kondoro na UDSM alikuwepo Prof. Luhanga.
Hawa walikuwa ni viongozi ambao walikuwa na maono na walitengeneza vichwa kweli kweli.
Tatizo ni kila mmoja anayekuja anakuja na sera na maono yake.
Prof. Mwamila alikuwa na "incubation programme" ya kuibua na kulea wagunduzi wanafunzi pale St. Joseph, Nelson Mandela na MIST, sijui zinaendeleaje maana sijaonana naye kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…