Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Pale D.I.T enzi hizo alikuwepo Prof. Kondoro na UDSM alikuwepo Prof. Luhanga.
Hawa walikuwa ni viongozi ambao walikuwa na maono na walitengeneza vichwa kweli kweli.
Tatizo ni kila mmoja anayekuja anakuja na sera na maono yake.
Prof. Mwamila alikuwa na "incubation programme" ya kuibua na kulea wagunduzi wanafunzi pale St. Joseph, Nelson Mandela na MIST, sijui zinaendeleaje maana sijaonana naye kitambo.
Xi Jinping mjanja anavijua vyuo vyao kuwa kiubora haviviwezi vya US akaona bora ampeleke binti yake Harvard (kitu bora hakijifichi data zinaongea na hata ukikichukia, ukikataa, ukiongopa haisaidii mzee wa kichina akaona cha kujivunga nini) ni kama tu viongozi wa CCM ukikuta wanavyosifia shule za kata au hospitali za serikali ila utasikia wanakimbilia kwenda ughaibuni kupata huduma za afya na kupeleka watoto wao feza na nyingine nzuri nzuri.
Nilishakwambia comments za Mshamba hachekwi na baba mwajuma zimeeleza vizuri uhalisia wa vyuo vya ChinaZa kuyumba
π π πNi kweli mwanao anasoma Havard!!??
Achana na walizosema wengine. Sema wewe sasa.Nilishakwambia comments za Mshamba hachekwi na baba mwajuma zimeeleza vizuri uhalisia wa vyuo vya China
Achana na walizosema wengine. Sema wewe sasa.
Achana na walizosema wengine. Sema wewe sasa.
Achana na walizosema wengine. Sema wewe sasa.
PhysicsAchana na walizosema wengine. Sema wewe sasa.
Bila kufaulu mtihani wa Gaokao pepa ngumu zaidi duniani sahau kujiunga vyuo bora China haijalishi ni mtoto wa raisi.View attachment 3343249
Ukitaka ujue huyo binti Ming ni kilaza huko Harvard kaenda kusomea Humanities B.A in Psychology. Kwa China hiyo haina deal
Hivi vyuo vya China mjinga mjinga hagusi
Hivi ni baadhi ya vyuo vikuu bora duniani kwa mujibu wa viwango vya kimataifa kama QS World University Rankings na Times Higher Education (2024):
---
Top 10 Vyuo Vikuu Bora Duniani (QS 2024):
1. Massachusetts Institute of Technology (MIT) β Marekani
Maarufu kwa sayansi, teknolojia, uhandisi, na innovation.
2. University of Cambridge β Uingereza
Historia ndefu ya ubora katika taaluma zote.
3. University of Oxford β Uingereza
Chuo kikongwe zaidi katika ulimwengu wa Kiingereza.
4. Harvard University β Marekani
Maarufu kwa sheria, biashara, afya, na jamii.
5. Stanford University β Marekani
Kiongozi katika ujasiriamali na teknolojia.
6. Imperial College London β Uingereza
Inaongoza katika sayansi, uhandisi, na tiba.
7. ETH Zurich (Switzerland)
Chuo bora zaidi barani Ulaya Bara (kontinenti ya Ulaya).
8. National University of Singapore (NUS) β Singapore
Bora zaidi Asia.
9. University College London (UCL) β Uingereza
Maarufu kwa sayansi ya jamii na tiba.
10. University of California, Berkeley (UC Berkeley) β Marekani
Maarufu kwa utafiti, siasa, na sayansi ya data.
---
Kwa Nyanja Maalum:
Biashara: Harvard, Wharton (UPenn), London Business School
Sheria: Harvard, Oxford, Yale
Teknolojia: MIT, Stanford, Caltech
Tiba: Johns Hopkins, Harvard, Oxford
Sanaa & Ubunifu: Royal College of Art (UK), Parsons (USA)
Sana Mimi wachina nimefatilia mpaka kipindi chao pale channel 10 na Sheria zao za kuhusu muwekezaji katika nchi yao asee mchina bhana π€£umemaliza mchina kwenye kucopy kupiga chabo hana mpinzani ni mwizi haswaaaaaa
Ushauri mzuri lakini utatekelezwa na watu wa race zingine, sio ngozi yetu. Viongozi wa Kiafrica priority No 1 kwao, ni kuiba, halafu wataiba then wataiba tena halafu watakwenda kuficha huko huko hivo vitu walivyo viiba; halafu wakifa, watoto na wajukuu zao wanarudia maisha ya kawaida kabisa, kule waliko peleka vitu vyao vya wizi, jamaa huaga wana vitaifisha na ndugu zao wanabaki wa kawaida, case study, Mabutu Seseko wa Zebangatuache viherehere kwenye nchi za watu. Tujenge nchi zetu
Wengi sana wale bila janjajanja, wiziwizi, watakufa na njaa.Sana Mimi wachina nimefatilia mpaka kipindi chao pale channel 10 na Sheria zao za kuhusu muwekezaji katika nchi yao asee mchina bhana π€£
Hili uwekeze nchini mwake kukucopy ni Sheria π―
Science is built upon facts and research. Science needs logic and facts.
Kwa sasa kwenye scientific research bora hakuna vyuo vinafikia vya China na hii ndio sababu kwa sasa China inaongoza kwenye sehemu nyingi ya application of critical technologies.
Hapa ndipo tunapima outputs za vyuo
1. Advanced materials and manufacturing
View attachment 3343276
2. Artificial intelligence and communications
View attachment 3343278
3. Energy and environment
View attachment 3343279
4. Quantum
View attachment 3343281
5. Biotechnology, gene technology and vaccines
View attachment 3343282
6. Sensing, timing and navigation
View attachment 3343288
7. Defence, space, robotics and transportation;
View attachment 3343289
MPaka sasa sijajuwa ni kitu gani mchina kavumbua kama wafanyavyo wazungu zaidi ya kula popo,kenge na mijusi.Wengi sana wale bila janjajanja, wiziwizi, watakufa na njaa.
Ndiyo maana wanakula mpaka popo, nyoka, na vitu vingile ambavyo katika hali ya kawaida binadamu wengine hawali
Acha maneno nataka ulete gunduzi zile ambazo ni ground breaking zinagusa dunia nzima kwa maana ya ideas ambazo zimekuwa na impact na kufanyiwa biashara na hivyo kugusa dunia nzima. Katika hili mchina hamna kitu ni mwizimwizi na kucopy copy ideas za US na europe.Bila kufaulu mtihani wa Gaokao pepa ngumu zaidi duniani sahau kujiunga vyuo bora China haijalishi ni mtoto wa raisi.View attachment 3343249
Ukitaka ujue huyo binti Ming ni kilaza huko Harvard kaenda kusomea Humanities B.A in Psychology. Kwa China hiyo haina deal
Hivi vyuo vya China mjinga mjinga hagusi
Wachina wapo kariakoo wanapambania na wao kuuza yeboyebo, mkono uende kinywani wapo zambia wanapambania kulima wapooze njaa, hawana huo uwezo wa kugundua.MPaka sasa sijajuwa ni kitu gani mchina kavumbua kama wafanyavyo wazungu zaidi ya kula popo,kenge na mijusi.
Wachina wapo kariakoo wanapambania na wao kuuza yeboyebo, mkono uende kinywani wapo zambia wanapambania kulima wapooze njaa, hawana huo uwezo wa kugundua.
Ila kikishagunduliwa sasa ndo wanakuja na zile mbwembwe za simu ina betri la Mah 15,000 na hapo ndo unakuta humu JF anakuja mchina wa kwa mtogole kuandika china yawa ya kwanza duniani kutengeneza simu yenye betri la Mah 15,000π€£π π
Kama kawaida yetu and that's how watanganyika ni marafiki sana na wachinaπ€£Wachina wapo kariakoo wanapambania na wao kuuza yeboyebo, mkono uende kinywani wapo zambia wanapambania kulima wapooze njaa, hawana huo uwezo wa kugundua.
Ila kikishagunduliwa sasa ndo wanakuja na zile mbwembwe za simu ina betri la Mah 15,000 na hapo ndo unakuta humu JF anakuja mchina wa kwa mtogole kuandika china yawa ya kwanza duniani kutengeneza simu yenye betri la Mah 15,000π€£π π
Huyo ana bwana wa kichina ndio anaye mweka mjini humwambii kitu kuhusu nchi ya baasha wake china yupo tayari kukutukana ili ale ban lakini atetee nchi ya baasha wake huyo.Hapa sasa unaonesha wewe ndo una pumba maana umeshapaniki. Wenzako wanaandika facts wewe unakuja na mihemko, unademka unatoa povu. Unajiona ni mchina π€£