Wachokonozi: Kizazi cha watu kati ya miaka 48-70 ni kizazi cha watu wapumbavu

Hawa hawajui kupangilia mawazo yao , wanatoa maneno ya kashfa na kufuru sometimes

Pia wanaangalia upande mmoja wa shilingi

Ni wanasaidia mtu kutafakari lakini kuna namna hadi kuna clip kama wanakufuru
Kukufuru ni nini??
 
Tatizo lao wana mipasho sana, zaidi ya kukera wenye imani na kuwafurahisha wasio amini kama wao sioni kama kuna kitu wanabadilisha..

Wana mawazo mazuri ila uwasilishaji ni mbovu, kubadili fikra za mtu kwa kumdhihaki ni kazi sana.

Hapo ndo backfire effect inafanya kazi ipasavyo, badala ya kuwabadili ndio unazidi kuwafanya wakite mizizi ya kile wanachoamini.
 

MJADALA HUU HAUHITAJI HASIRA, ILI TUJUE AFRIKA IKIWEMO TANZANIA TUMEKWAMA KWA SABABU GANI

Naunga mkono hoja, na hasa hilo heri ya machifu waliokuwa hawakuenda shule wakadanganywa na wakoloni.

Je hiki kizazi cha wazee waliopo madarakani wakakasomeshwa buree wakiwa vijana na Mwalimu Nyerere tutawatetea vipi?

Shule wameenda na kupelekwa hadi Ulaya, Marekani ya Kaskazini, Russia, Ukraine, China, Japan, India n.k

Wakaongezewa ziara za kikazi, makongamano, semina elekezi na short course mataifa hao niliyoyataja hapo mbele juu, nini mkwamo ?
 
Wao wamefanya nini

Ni wajinga sana

Hao bado wanajitafuta ,watumie lugha nzuri kufikisha ujumbe

Wazazi wao wamejinyima wao kusoma
 
Sio mapumbavu tu ni mazezeta kwa sababu hata Magufuli kaongezekea hapo
 
Swala la dini na Mungu Mimi huwa naonaga MTU anabidi apewe Uhuru achague kile anachoona ni sahihi.
 
Cri
Hawa hawajui kupangilia mawazo yao , wanatoa maneno ya kashfa na kufuru sometimes

Pia wanaangalia upande mmoja wa shilingi

Ni wanasaidia mtu kutafakari lakini kuna namna hadi kuna clip kama wanakufuru
Pp ipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…