Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

Haaahaaahaaa kanisa gani hilo

Makanisa yamechachamaaa
 

Una miliki biblia? Wewe ni mkristo? Una roho mtakatifu? Unafuata nini jamii forum na haya maswali?

1. Mchungaji wako ni mwehu.
2. Na wewe ni mshirika wa mwehu.
 
Una miliki biblia? Wewe ni mkristo? Una roho mtakatifu? Unafuata nini jamii forum na haya maswali?

1. Mchungaji wako ni mwehu.
2. Na wewe ni mshirika wa mwehu.
Hahaha kwa hiyo tumekutana machiz watatu na ww mchangia mada
 
Dada zetu wa kinyakyusa hawa wachungaji wanawapiga sana pesa
 
Shida ya madhehebu ya kiroho ni Mchungaji akishakuona una uwezo fulani,Labda una ajira,mfanya biashara,nk,basii!
Na kwa taarifa yako hata ungekimbilia dhehebu gani la kiroho!
Hata hivyo unachotakiwa usiache kulipa Zaka kwa kadiri ya kufanikiwa kwako!
 

Mkuu kwahyo sababu ya sadaka watu ndo wahame ukristo mengine hayahesabiki?sadaka ni hiyari period.
 
Hiyo Malaki uliyonukuu na unayotumia kutoa Zaka, Unafahamu ya kwamba Nabii Malaki hapo alikuwa anazungumzia Zaka iliyo Katika Torati?

Unafahamu kwamba Malaki 3:10 inazungumzia Zaka kwa mujibu wa Torati?
 
Roman hakuna michango kasema nani? Michango ya ujenzi wa kanisa, zaka, ujenzi wa shule(hapa hata ukiwa mkatoliki hakuna favour yoyote utayopata ukimpeleka mtoto shule hio husika) ujenzi nyumba za mapadri...hapo bila kusahau kama kwenye pc hawaoni michangi yako haupewi huduma yoyote ya kikanisa...michango ipo kila sehemu...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwahiyo zaka mnawapelekea wachungaji kumbe??! Si kwamba zinapelekwa kwa masikini hili kupunguza gape la mafukara katika Nchi au mji!

Dah, aisee poleni
 
Michango ipo tena mingi sana romani ila hulazimishwi. Hapa kuna bahasha kibao sijapeleka hiyo michango ila sijakumbushwa hata siku moja.
Zaka sijatoa miezi kadhaa hakuna wa kunilazimisha kutoa, nitatoa mwezi nitakao taka nifidie na miezi ya nyuma, na hata nisipofidia hakuna hata wa kuniuliza.
Kuhusu kutoa huduma hilo romani kama hutowi michango huwezi pewa huduma ila hulazimishwi na mtu yeyote. Shida zako zikikipeleka ndo aatakwambia michango yao uamue kutoa au kutotoa.

Michango ya romani hainipi shida, natoa kama ninayo nikifa lazima nizikwe haijarishi wataniombea au la! Ila kuzikwa lazima nizikwe
Hizo huduma nyingine nikizitaka nitalipa wakati huo silazimishwi kuzilipia wakati sijazihitaji.
 
Upo parokia gani mbona Roman nako kumechangamka kwa michango siku hizi?
Hakuna kanisa lenye michango duniani kuliko romani, ila hulazimishi hutooana ukipigiwa simu kama mleta mada sijui peleka zaka.shida zako zikikupeleka na utaulizwa michango yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…