Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

....Inaelekea Umemuendekeza Toka mwanzo!
Mchungaji anakupigia simu kukumbusha Zaka??
Umemuendekeza Toka Mwanzo! Mpe Sasa!
 
Anzidha kanisa lako.Hio habari ya kwenda kwenye makanisa ya watu ndo inaleta dharau
 
....Inaelekea Umemuendekeza Toka mwanzo!
Mchungaji anakupigia simu kukumbusha Zaka??
Umemuendekeza Toka Mwanzo! Mpe Sasa!
Sijawahi kuwa na mazoea na mchungaji mm mtu wa ibaada ikiisha nasepa chap mapema sana sinaga mambo ya porojo wala lojo kubaki church wala kupiga naye story sema tu yeye ananichukulia kuwa nina hela sana anavyoona namudu matibabu ya mama yangu kila mwezi nalipa Milion 4 ,kwa ajili ya dialysisi ...na huku mambo mengine yakienda barabara
 
Zaka(fungu la kumi) halihusiani na hali yako ya maisha sijui kuyumba sijui nn
Hiyo ipo kibilia hata sio ya Mchungaji,kanisa....,

Tatizo most of you ppl(christians) hata hamuelewi umhimu wa sadaka, na pia Tofauti za sadaka! (Sadaka zipo za aina Tofauti)Shida inaanza hapo
Ukielewa umhimu,hutasubiri ukumbushwe na mchungaji!
 
Hahahahaha

Njia ni moja tu

Hama Kanisa

Mchungaji amekugeuza wewe sehemu yake ya mapato kwa hio jiongeze zaka na sadaka sio kitu cha lazima maana kutoa ni moyo
Acha upotoshaji!
Unasoma biblia gani mwenzetu?

Km Kuna sadaka ya lzm kuliko zote ni zaka(fungu la kumi) hiyo iliamriwa na Mungu mwenyewe!
Kasome Malaki 3 yote,soma mwanzo pia!
Zipo sadaka za aina Tofauti,ila zaka usifanye mchezo nayo!
 
Kwani kumunua gari Tatizo mkuu gari niliipia toka mwezi sita ,mwez kuna mambo ya kifamilia yamenibana hivyo sitoi fungu la kumi sitaki kutoa kinafiki
Ss usitoe fungu la kumi lkn usishangae kuona mambo yanakuwa magumu zaidi!

Nikuulize, Hilo fungu la kumi usipolitoa ndo linafanya mambo yako kuwa marahisi?

Pili ,inaonekana hata hujui nn maana ya sadaka na kazi zake na aina zake,kiasi kwamba mpk mchungaji akukumbushe, ungekuwa unajua usingesubiri kukumbushwa!
Jitahidi kuwa na mahusiano na Mungu wewe binafsi kwanza kabla ya Kanisa, mchungaji!

Inawezekana njia aliyotumia mchungaji kukwambia sio nzuri, lkn hiyo haiondoi ukweli kuwa %10 si ya kwako!
 
Bwana KANYEGELO mchungaji wako huyu hapa
 
Huo ni utumwa wa hadharani.
Nguruwe amekatazwa agano la kale lakini analiwa tu huku tukisema ni old testament commit.
Zaka iliagizwa kwenye agano la kale lakini mnalazimishwa mpaka sasa na hamshituki kuwa ni maagizo yaliyopitwa na wakati.
Agano la kale likuwa kivuli Cha agano jipya....
Soma vzr biblia yako
Biblia inasema ..hakuja kuitangua torati Bali kuitimiliza...
Unaelewa maana yake ?
 
Daaa ama kweli wakoloni waliwaweza.

Dini ni upumbavu
Dini ni utapeli
Dini ni kifo cha Roho na akili
Dini ni kificho cha maovu
Dini ni biashara
Dini zote ni uongo mtupu
Dini zote Muanzilishi ni mmoja aliyekuwa na madhumuni tofaut kwa wapumbavu haswa Afrika.

Sadaka ni njama ya wahuni iliyopenyezwa ktk imani haswa ukristo kwa kivuli cha ulazima na Amri ya Mungu kuwa ukitoa unabarikiwa.

Sadaka chanzo chake ni hao waroma waliotunga dini ili kujipatia kodi na kuinua mapato na uchumi wa romani empire, baadaye walihalalisha michango hiyo makanisan na kuiingiza ktk imani na vitabu vya dini ili michango hiyo(sadaka) ionekane ni matakwa ya Mungu kuwataka watu watoe vitu vyao makanisani.

Sadaka hizo zilikuwa kama nyenzo muhimu ys kukuza uchumi wa kanisa na falme inayomilik kanisa.

Baada ya mgawanyiko wa makanisa na mvunjiko wa catholic, vikazaliwa hivyo vijidhehebu vinavyojifanya vinautukufu ilihali vimekopy na kupaste sheria zoote za catholic ikiwepo mafundisho na hata maandiko yenu ya UONGO kutoka ktk BIBLIA.

MUUMBA wa KWELI hana haja ya sadaka na hatowai kuitaka sadaka yako, maana kila kitu ni chake, so how come akudai?

Hata hivyo kwa mujibu wa biblia zenu japo zimechakachuliwa lkn ukwel unabaki kuwa, Maana ya kanisa ni wew mtu mmoja mmoja ama unaitwa hekaru, kwamaana makao ya ROHO MTAKATIFU, hivyo hayo magenge yenu hayana sifa ya kuitwa kanisa, kwakuwa humo ROHO MTAKATIFU hawezi kukaa, na hata hivyo kanisa aliloliacha kristo ilikuwa ni wafuasi wake waliofuata mafundisho yake, na sio madhehebu.

Madhehebu yameibuka juzi tu baada ya uharibifu wa imani yakweli.

Neno sadaka halikutakiwa kuitwa hivyo ktk imani yakweli, labda kama wamaanisha sadaka ktk ushirikina tu,

ktk imani ya kweli kuna MSAADA ambao mtu unautoa kwa hiyari yako tu, napo unautoa kwa watu wahitaji kama vile, wagonjwa, vilema, mayatima, wazee, masikini n.k,

Na kuna sheria kabisa kuwa ukimsaidia mtu kwa uaminifu basi utalipwa kulingana na uaminifu wako haijarishi unaamini uwepo wa Muumba ama, au unashika mafundisho yake, lkn sheria hizi za Kusaidia zina Function bila ubaguzi maana MUUMBA wa kweli hajawai bagua viumbe wake, na sheria zake ni HAKI kwa kila kiumbe.

Hivyo basi utowapo hayo mamichango mnayowapa wachungaji makanisan, juwa kuwa unashiriki ibada za makafara na matambiko ya kishetan kwa kujua ama kutokujua,

Mambo haya hutowai ambiwa na mchungaji yeyote yule, maana yanaharibu biashara zao za kishetani za makanisa.

Mchango kwa wahitaji ni uamuz wa mtu kutoa ama kutotoa, na ukitoa kihalali basi sheria ya GIVE AND RECEIVE itafanya kazi kwako, ndiomaana matajiri wengi wanazidi kutajirika maana wanajua siri ya kutoa kwa masikini vituoni na wagonjwa, na huwezi waona wakiyatolea hayo matapeli yanayojiita wachungaji.

Ukristo na uislam ni imani moja ktk mgawanyo tofauti, haya yote ni makundi yanayofanya kazi ya siri ya kudidimiza maisha ya waafrika, kuwafunga akili na kuwafanya waabudu mashetan badala ya kumuabudu Muumbwa wakweli.

Hama ilo kanisa na achana na mambo ya dini, kazana kuwasaidia masikini FULL STOP.

YEYOTE ATAKAYEFANYIA KAZI MANENO HAYA HAKIKA MATUNDA MAZURI ATAYAONA NA KURUDISHA USHUHUDA HUMU
 
Nilivoona tu jina la kanisa basi,hamna jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…