Wachungaji na Maaskofu waiache CHADEMA ijipambanue kama chama cha siasa

Hapa jee?
Hii naikubali. Na kesho utawakuta kkkt, Peramiho, Vatikan n.k. Hii ndio siasa, Sikiliza hoja za wananchi wako wote. Wafikie, waelewe, wakubali...... Utatatuaje matatizo yao kesho kama kabla ya uchaguzi hukuwafikia na kuwasikiliza.
Hayo aliyafanya hata Nyerere, shida iko wapi. Au mmesahau Jinsi alivyoingia TAA na Baadae TANU. Lete na zile picha za nyerere za wakati ule.
 
Mkuu, kwa hali kilivyo kwa sasa Chadema ni chama kinacho kubalika haswa. Kama uchaguzi ukiwa huru na haki kinashinda kabla ya saa 6.00 mchana.
Mmmmmm! Napenda iwe hivyo, lakini kwa hali ilvyo sasa siamini hilo. Nanyi nyote mnalifahamu hilo, tusidanganye wananchi. Na hayo makundi mliyoyatupa, yatawapigia kwa kweli? ANZENI KUYANYOOSHEA MIKONO HAYO MAKUNDI.
 
La saba wako mtaani
 
CCM imejipambanua kuwa ni ya wote- wislam, wakristo, imani za kijadi (machifu), wasio na dini N.K Kwa vile ukichaguliwa huwezi na wala haitakiwi ubague. Wewe na Rais wa wote, mtoa huduma kwa wote na msikivu kwa wote.

Ukijitenga kabla ya kuchaguliwa ni vigumu kuamini kuwa utajiunga baada ya kuchaguliwa. Jiunge leo, vinginevyo bando lako litaisha mapema.
 
Samia alipompelekea Kadinali Rugambwa joho la kuendeshea ibada wakati yeye ni muislamu ulitafsiri vipi?
Nilitafsiri kuwa Samia anawasikiliza wapiga kura wake wote. Na ninapenda na CHADEMA waige mfano huu. Wawafikie wapiga kura wote, na ndio nia ya kufungua uzi huu. Wasiende kwa kundi moja tu, wawafikie wote.
 
Siungi mkono ugaidi wa aina yeyote ile, bali wananchi wana haki 100% kukinyooshea mkono chama chochote kile kinachobagua makundi fulani ya jamii.

..propaganda za udini na ukabila zinazofanywa na Ccm zina madhara mabaya kwa jamii.

..propaganda kwamba Chadema ni chama cha Wakristo ndio hiyo Afande Jumanne Muliro anathibitisha ilipelekea tukio la kigaidi dhidi ya chama hicho.

..kabla ya hapo kulikuwa na propaganda kwamba Cuf ni chama cha Waislamu, na ilipelekea chama hicho kutokuaminika huku Tanganyika.

..Ccm inao uwezo wa kushinda uchaguzi bila kufanya propaganda za kuligawa taifa, na kuharibu misingi ya umoja na amani nchini.
 
Mkuu, huu utabiri wako ni wa kitambo sana; ni kama fisi anapo mfuata mtu kwa nyuma akijiaminisha kwa asilimia 100 kwamba ule mkono utadondoka na yeye kujipatia mlo wa siku.
Huyo jamaa kila siku anafikiria kuwa kuna siku CHADEMA itakufa kumbe ni ndoto za Abnuas.
 
Mkuu, huu utabiri wako ni wa kitambo sana; ni kama fisi anapo mfuata mtu kwa nyuma akijiaminisha kwa asilimia 100 kwamba ule mkono utadondoka na yeye kujipatia mlo wa siku.
Huyo jamaa kila siku anafikiria kuwa kuna siku CHADEMA itakufa kumbe ni ndoto za Abnuas.
Mmmmmm! Napenda iwe hivyo, lakini kwa hali ilvyo sasa siamini hilo. Nanyi nyote mnalifahamu hilo, tusidanganye wananchi. Na hayo makundi mliyoyatupa, yatawapigia kwa kweli? ANZENI KUYANYOOSHEA MIKONO HAYO MAKUNDI.
Hatutaki COVID 19.
 
CCM ni Chama cha Majambazi
na Mafisadi ukiona mtu anajiunga huko jua huyo ni jambazi.
 

Umemaikia Mwamposa akiwa Bukoba????????
 
Mzee wetu Ally kibao alikuwa mkristo ?la hasha alikuwa Muislamu.
Mbowe hakujiendeleza kilemu kwa hiyo hana sifa ya kuongoza taifa kama letu ,aendelee kubaki na SACCOS tu
MUDA utasema ukufika,tuache ubashiri,Mungu Mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…