Aaah mkuu we upo pande zipi JF? Hebu katiza mitaa ya JF vizuri uta yaona matako mengi tu. Mengine kama yana dondoka hivi na likes za kumwaga tu wanapata.Mimi ni upeo wangu wa kudiscus mambo ya msingi na pumba ndo ulinifanya nijiunge JF maana huku hutaona Agnes masogange akipost TAKO afu tu like.
Kama mimi tuu sema mi niliombwa na Mike [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Max aliniomba nijiunge.
Haya nayasubiri mana yalikuwa na madini kweli kweliHeri ya mwaka mpya pia mpendwa, kwa kweli magazeti yalikuwa likizo kidogo ila soon yatarudi
nilitaka kushangaa,mshana achangie bila kutaja neno uchawi..haha..Wapo ukiwahitaji nijulishe na sio uchawi wala ndumba search kwenye LAST SEEN ya kila mmoja utajua tu... Ila kuhusu location siwezi kukuambia
Hapana, I am doubleYou are Single and ready to mingle eeeh!![emoji53]
Mkuu umemsahau pia masai dada sijui kapotelea wapi rafiku yangu huyu tulikua tunadiscuss sana wrestling alikua mdau....nimeanza kutumia jf since 2009 ila nimejiunga rasmi early 2013....kilichonifanya nijiunge JF is never boring kuna kila vituko [emoji2] [emoji2] [emoji2]miss chagga, Evelyn Salt, Heaven Sent na Madam B hawa wadada walinifanya nicreate accnt JF ili nije kupambana nao huko mnakokuita PM ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu
Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu JF?
Hivi siyo ile kunusurika kubakwa na mbwa?Madame B ni mada gani hiyo ? Hebu niwekee link nika isome labda naweza jiunga tena.[emoji55]
Hahahha ndo nimeonaaa leo ,ushawishi huo veepee ndugu yangumi nimekua guest kwa muda sana lakini Dada Mambembe amenipa ushawishi wa first class kujiunga kamili
Na ya farasi hahahaHivi siyo ile kunusurika kubakwa na mbwa?
DMJAMANI PM KIREFU CHAKE NINI? NISAIDIENI WANA JF!
Private messageJAMANI PM KIREFU CHAKE NINI? NISAIDIENI WANA JF!
Nipo kaka bilioneaHivi Bad girl Evelyn Salt alipotelea wapi??
Nipo njoo tupambanemiss chagga, Evelyn Salt, Heaven Sent na Madam B hawa wadada walinifanya nicreate accnt JF ili nije kupambana nao huko mnakokuita PM ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu
Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu JF?