Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Nilijiunga bila shuruti,.nilipenda logo yake tuu nilipoiona kwa mara ya kwanza kwenye play store, na ndiposa sikufanya ajizi kutengeneza account yangu ya mara ya kwanza mnamo mwaka 2014,..
 
Safi
 
Kaka
wewe ni mhaya?

Samahan kwa hilo swali.
[emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]
Usingeomba samahani ningekujibu. Ila kwa kuomba samahani umedhihirisha swali lako ni kejeli,kwahio sitakujibu.
 
Back
Top Bottom