Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Shoga angu huu ubuyu mzitoo embu njoo Pm tuyajenge
We Ebu Acha Movie Iendelee Hapa. Movie Inaonyeshwa Kwa Projector Kama Movie Za Yesu Kijijini Alafu Wewe Unataka Wakupe Uangalie Mwenyewe Ktk Laptop. We Dada Wewe!
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
mbona niriempata mm haji kusema au ni muongo?
 
Kumbe wapo eehh
 
Ukweli mtupu huu... Nimeupenda Ujumbe wako, hongera sana [emoji116]
[HASHTAG]#Casta[/HASHTAG] mvungi
 
Mie Mbona Sijapatwa Maana Kinadada Mnapata Tu. Naombeni Na Mimi Mnipate Kinadada Kama Mnavyowapata Mabroo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Ila Sio Miss Kutafutana Stay Away Please!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwanini miss kutafutana unamtimua?
 
Mimi ni mkristo na ili ndoa iitwe ni lazima ifungwe kanisani na pia mtu wameishi wote na watoto juu why asiwe mke wake.... Pia sipendi kumuongelea huyo aliekua mke wake sina tatizo hata kidogo na heshima yake nitampa
Aisee we lijamaa uliesababisha huu mtifuano...utulie na huyu binti Venus mana sio kwa kukukingia kifua kwa level hii...na amejitoa muhanga kweli kweli...yani huyu ameshafika kwenye coma stage..sasa ukamzingue tutasikia habari yake...
Aisee we mdada nimekupenda bure jinsi ulivyokuwa unapangua hzi hoja...mana ungesema ukae kimya mjadala ungeendelea kama kawaida na ndo ungechafuliwa vya kutosha..ila ulisimama kidete na inaonekana wengi walikuelewaa...BIG UP
Nimependa unavyoweza jenga hoja..it seems like your well informed about the past relationship za huyo mlengwa wako...ila kwa hili UWE MAKINI SANA HAKUNA MWANADAMU ATAWEZA KUSEMA YEYE NI CHANZO CHA TATIZO KWENYE MAHUSIANO KILA MTU HUMTUPIA MWENZIE LAWAMA. SO BE PREPARED MANA HUYO ticha inaonekana NI PLAYBOY MZURI LABDA KAMA AAMUE KUTULIA.
Ila yote yawezekana labda wee ndo ulipangiwa kuwa nae kimaisha..ila usisahau KUMWOMBA MUNGU AZIDI KUMBADILI KITABIA NA AWATANGULIE KATIKA MIPANGO YENU YA MBELENI.
CC Venus
 
ume tililika vizur mpaka nikataman niwe huyo jamaaa ila hyo verse ya mwsho why umesema mtoto wa kwanza na sio wa milele lakn ww bint!!! yan mhusika sijuia ataumiaje kama mpita njia nimeumia hivii
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Uchelewi Kukuta Alipotezwa Na Miss Kutafutana Na Akajitoa Jf. Au Unakuta Miss Kutafutana Na Mr Kutafutana Ni Jitu 1[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Duh! Za uso! Left hook, right hook, upper cut! Show ya bwerere kama kawa!
 
Binti nisikize mie mtu mzima. Kama huyu mtu kaombwa msamaha kiasi hiki na bado kakataa kusamehe, tarajia hayahaya. What goes around comes around. Utakuja kuingia kwenye takwimu zake. Sijui kama utakuwa na ujasiri wa kumwomba msamaha wa kiasi hiki, lakini najua kusoma trends; kama utaomba atakataa, na muda huohuo atakuwa anatetewa na mwanamke mwingine kwenye forum fulani. Za kuambiwa changanya na zako, it's all up to you.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…