Wadada mnatuaibisha bhana,hata kama pana uhaba wa wanaume not to that extent.
Kwanza ogopa limwanaume zoazoa afu mnagombana lenyewe lipo kimyaaaa linapanga sheria nani afuatie.
Mwanaume wa kweli haonyeshi utupu wake hovyo hovyo.
Hv wanawake kuishi peke yetu hatuwezi?
Binafsi siwapi first priorty wanaume kabisaa,maana ninejijengea kujiamini nimeandaa na kujipanga vzr kiasi kwa maisha hivyo nikiona mdada anagombea mbo.... namshangaa mno,mbo.... ni nini bhana angalia mustakabali wa misha yako baada ya hapo utaamua nani awe nani sio kupangiwa,kuiba wala kugonbea.
Wanawake tubadilike,kumbukeni heshima unajipa mwenyewe na kamwe haikutafuti.
Nendeni kwenye mabaraza ya usuluhishi wa ndoa mjifunze,wamtu wanajuta kuingia kwenye ndoa.
Nani asiye jua kwmb yapo mababa tena yaliyomo kwenye ndo takatifu kabisa na bado anamvika pete mdada kwa shangwe na nderemo. Nia yake apate K kwa urahisi huku kamfunga na mwisho wa siku anambwaga kama toilet paper chooni.
Umefika wakati wa mabadiliko MIPANGO YAKO MAISHA YAKO sio mwanaume,kwanza kuolewa ni utumwa tu bora kuwa hgirl unalishwa,unauguzwa na unalipwa.
Kikweli sijapenda hayo malumbano.
Nna mengi ya kusema acha muda huu niishie hapa.