Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
Asante sana kwa kusalute kuwa Smart911 sio wa levo za nchi hii

Naona umeanza kumkubali Tehtehteh

Nacheka kwa dhaaaaraau

Cc Smart911

Aku ata simkubali

Nacheka kwa dhaaaaraaaaau -wacha wee naona umegeuka pilato

naona Smart911 amekuwa mannah iliyoshuka kutoka mbinguni

mimi ntakuwa maji ya kupoolainisha koo usije kukabwa mtoto wa watu.

Smart911 ehhh hivi inasimamaga kweli naniliu
 
Bwaha Bwaha Bwaha Bwaha
ukategemea sapoti kuubwaaa ndokwanzaaa

things went contrary to your but....
khakhaakhaa Nacheka kwa dharaaaaaaaaaaaaaaaaauuuu
 
I wish i could be your mgeni one day...

nimetamani nikuone tu roho yangu itulie maana hiyo avatar yako imenikumbusha kipindi kile Moshi. Ulinipiga bonge la msunyo siku moja natamani nikugonge na haka ka ICT kangu.

Roho inaniuma sijui kwa nini... nahisi niende kwa mganga mshana jr

jirani Saint Ivuga unaona ninachofanyiwa, nadharaulika kama kohozi la tb

wewe Smart911 umempa nini dada yetu hakuwaga hivi nilimlea akiwa shule, hukumkuta na kovu wala alama. Leo ata shukrani huna, nimemlinda mpaka ukampata sasa hutambui uwepo wangu
 
Mdau wewe kuwa na subra, just matter of time watabwagana na utachukua Goma hilo
 
Siku hizi naona wamefupisha zamani ilikuwa wiki hata wiki mbili na zaidi na kuna mtu alishapigwa ban ya maisha hadi watu wakamuombea samahani ndiyo akarudishwa pia walikuwa wanakwambia sababu ya kupigwa ban. Sasa kama mtu hujui umepigwa ban kwa sababu (z)ipi si unaweza kulirudia kosa lile lile tena?

Hata sijui kwa kosa gani,kwani ban ikitolewa inakua ni siku moja tu??au inachukua mda gani
 
Siku hizi naona wamefupisha zamani ilikuwa wiki hata wiki mbili na zaidi na kuna mtu alishapigwa ban ya maisha hadi watu wakamuombea samahani ndiyo akarudishwa pia walikuwa wanakwambia sababu ya kupigwa ban. Sasa kama mtu hujui umepigwa ban kwa sababu (z)ipi si unaweza kulirudia kosa lile lile tena?
Hhmm!!huyo alopigwa ban ya maisha sababu ilikua ipi??jana weng tulipewa ban bila ya kuzijua sababu,maybe kwasababu ya kuleta stry ktk nyuzi za watu si unajua[emoji28][emoji23].io ban ya siku moja tu nmeona siku nzima imekua chungu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijui hata alifanya nini Arabian Queen. Okay labda ni kosa hilo lakini ni vizuri kufahamishwa badala ya kubaki unadhani labda ni hili labda ni lile.

Watafahamisha wangap kwa ban zile,ban zimemiminika km maji vile[emoji28][emoji1]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaha hata ww kumbe[emoji23]yule mod atakua anafanya interview jinsi ya kutoa ban,alipoweza ndio akatutoa kifungoni si bure
Kama sio mgeni basi shemeji yetu alimkasirisha akamalizia hasira kwetu. Sio kwa ban zile aise[emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom