Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Wadada mliowahi kutafuta wachumba JF na kupata njooni hapa

Status
Not open for further replies.
NDIO!
Nilimpata wakati niko na majonzi ya Usaliti kutoka kwa jamaa mmoja humuhumu jukwaani
Hata sasa mwaka umepita
Yeye ni rafiki kwangu
Mpenzi
SexPartner
Mwalimu
Kiongozi
Mshauri
Amenizidi sana umri lakini...(KidondaTamuNziNdioHufia)Nampenda Sana thou sijui yeye kama anafeel the same
Mungu akiruhusu nitamfanya Baba wa mtoto wangu wa kwanza
mdogo angu nilipitwa hiii, ngoja nije watsap[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
hahahah uwiii haka kauzi katamu kweli, acha nicheke mie
 
MISS CHAGGA & MISS NATAFUTA nyie ndio nmekua vinara ila huyo huyo mwanaume rafiki enu anaeona hafai hiyo hapo juu yote ni misamaha akiomba tena ilikua juzi tu ila leo anamuona kicheche, mume wa mtu hayo yote hakuyajua..... Naomba tena naomba muachane kaka wa watu kama kumdharirisha ameshamdharirisha vya kutosha amuache mimi nimempokea na mapungufu yake yote
heheheheiya pambe tu mie,mapenzi mubashara
 
Achana na watu shost...we fata kile roho yako inapenda

Dawa ya moto ni moto yy kakulipua na kamdhalilisha bwana akoo na wee lete message zake zote za misamaha yake hapa..eboo!

Halafu uko vizuri upstairs nimekupenda buree..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] khaaa jamani wanawake sisi [emoji119] [emoji119]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom