Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ukiwa nazo jamani hata haujielezi sana.....Hadi rahaPesaaa jamani pesaaa sabuni ya roho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa nazo jamani hata haujielezi sana.....Hadi rahaPesaaa jamani pesaaa sabuni ya roho
HatujazoeanaWewe hauna mbinu za kutufundisha hapa
😳Mbona sielewi cocastic ni bro au ni pisiBro ungejuta.
Awe Mvumilivu hiki ndio kigezo kikubwa sanaKwanza tuanze hapo wife material yukoje kwani?🤪
Ni jamaa ila ni shoga.😳Mbona sielewi cocastic ni bro au ni pisi
Kwa Asilimia 90 😅😅😅😅Et inawezekana sometimes muonekano ukachangia ukapigwa mateke ya mbavu😂😂
😳Ei kmmke daaaahNi jamaa ila ni shoga.
Awe bikraKwanza tuanze hapo wife material yukoje kwani?🤪
😂Kwamba mapenzi kwao ni fursaUna waza sana wakati siku hizi wan penda kutongozwa maana ni pesa kwao iyo
Watu wame jiajiri hawana aibu kabsa siku hizi😂Kwamba mapenzi kwao ni fursa
😂Aaaa kbbke haogopi yaniWatu wame jiajiri hawana aibu kabsa siku hizi
Unajieleza sana mkuu, unaua brand.Niko nasoma hapa mbinu maana nimechukua number ya nurse sms ndeeeefu niliyotuma nimejibiwa "okay"
Kumbe una WOWOWO😂Tunajisikia raha sana, hasa awe anakutongoza mida ya usiku huku anakuchezea chezea wowowo uwiiiiiiiih.........kwa sisi maharage ya mbea unajikuta unanyanduliwa hapo hapo.
Na usiombe anayekutongoza awe mkaka fulani hivi TALL, DARK, and HANDSOME... looohhhh 😋😋😋👌
Akii tumbo la uzazi linanicheza.... ni rahaaa
Cc: Yohimbe bark Poor Brain Mzee wa kupambania dronedrake Lamomy cocastic Infropreneur Extrovert min -me
Alooo hii sio kwa usie na mazoea nae tu hata kwa ulie wazoea wakazaji kamba🤣🤣🤣Habari zenu members wote was jamiiforum pia poleni na mahangaiko
Mimi nina swali hasa kwa wadada kuhusu wanavyojisikia wanapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui Ila ndio hivyo mkaka ameamua kuja mpaka ulipo na kukuambia amevutiwa na wewe baada ya maongezi machache kutambulishana
Nimeuliza hivi kwa sababu Mimi ni introvert pia kwenye social circle yangu almost Hamna jinsia ya kike kiufupi sijawahi kua na rafiki wa kike kwenye maisha yangu ,rafiki wangu wote wengi ni wa kiume ndivyo nilivo naona uzito Sana kua na rafiki wa kike ni kitu ambacho sijazoea
Njia yangu kubwa ya kupata mademu natumia Sana cold approach
Kiukweli naona nafuu zaidi kutongoza mdada hapohapo kuliko kuanzia kwenye urafiki mpaka baadae kuja kufunguka mpaka Leo sijajielewa Nina shida gani Tena napenda kutongoza wanawake wa mbali kuliko karibu kiufupi wanawake wa maeneo ya karibu hata iweje si mtongozo ng'o
Shida inakuja nimekuja kugundua wanawake wengi wanashutka na kushangaa Sana pale mkaka hakujui Wala hakufahamu hata kidogo halafu umtongoze Tena kwa confidence wanakuwa na wasiwasi mpaka wengine wanakataa au anakupa namba halafu hajibu message
Ndio leo nimeona labda niwaulize nyie wenyewe wadada maana sitaki kuanza kuweka lawama kwa warembo kumbe Mimi mwenyewe njia ninayo tumia labda sio maana mdada anaonyesha ushilikiano wakati na mtongoza shida inakuja mda mwingine hawaoneshi ushilikiano baada ya kukupa namba Tena Cha kushangazwa hata mizinga sijawahi pigwa yangu nimeanza kutongoza😂 Sijui Kuna nini?
View attachment 3078176
View attachment 3078177
Imagine angekua anatuma voice note😂Comments za BICHWA KOMWE - kama upo na watu wako wa heshima bora usifungue tuu 😂😂🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Usije ukajichanganya.😳Ei kmmke daaaah