Wadada mnaoendesha magari na wenye kazi nzuri acheni kulinga mtazeeka mkiwa kwenu

Tulia wewe mtoto wa kiume nenda nae taratibu pupa za nini ee nenda nae polepole Mambo mazuri hayataki haraka,

Mwache awe anakutafuta yeye basi kwisha habari hao wanapenda kuendesha maisha yao hivyo hawawapendi attention seekers
 
You guguno tu muchhhh🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…