Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

Kula Yao iko kwenye kubet, wanabet haoooo eeeee
 
Kuna mashabiki maandazi yupo radhi hata aache kufanya kazi aende akaangalie mpira kwenye vibanda umiza.
Baadae akikosa pesa anaanza kulialia na mkewe akitafunwa ndio kabisa povu na kamasi kama yote.
Shabikia mpira kwa kiasi sio kujifanya kama vile ww ndio mmiliki wa timu.
 
Kuna watu wamepata kazi na wengine wamekutana na kufanya vitu vya maana na hawakujuana hp awali ila kupitia ushabiki wa kabumbu.
#Ungeweka wazi ushabiki upi.. uwanja mpana Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…