Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

Hasa mashabiki wa simba na yanga..yani wengiwao ni zero brain.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wale wengine wa5 walikufa juzi hapo kwa ulevi na ushabiki.
Walienda Arusha eti kushangilia mechi km vile kule hamna mashabiki.
mda wa kurudi kambang chali wa 5 on the spot
 
Huu utafiti umefanyika lini na wapi na kwa kutumia sample zipi?.
 
Hahahaaa, gongelea msumari uo inch5
 
Ushabiki wa kiasi ni mzuri unakukutanisha na watu wengi...nenda sehemu ya maana ya ulabu mjini, then subiri hadi saa nne usiku Leo hii uburudike na boli kutoka Uwanja wa Wanda metropolitano kati ya Real Madrid vs Atletico Madrid.
 
Ila wote tunakufa na kuacha kila kitu, kama mpira unakupa faraja unaongeza siku za kuishi wewe ni wa kupuuzwa
 
Imagine sisi tunashabikia Arsenal ni wavumilivu hata kweny ndoa tuna subira .


Mtoa mada wacha maneno ya kihuni
 
Mnataka kuolewa na wapenda kahawa ambao kila nchi wanaijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ