Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

Inahitaji kuhabikia kiasi. ni kweli wanatakiwa kuepuka wale ambao muda wote wanaongea mpira, wakifungwa wananuna na kukasirika, muda wote wamevaa mijezijezi, nk. Wanakuwa hawana akili sawasawa.
 
Mwanaume anayeshabikia mpira ananifaa kinyama
Ushabiki wa mpira na maendeleo ni ardhi na mbingu....hakuna koneksheni hapo

Mwanaume asiyefuatilia mpira naonaga kama mdada mwenzangu tu
Daah wewe kiboko
 
hujakosea

Hasa hasa awe ni shabiki wa utopolo,
wengi wao ni makapuku wakubwa, wanaongea kama redio
 
Akili yako ndio imeishia hapo tu
Ongeza na wanasikiliza mziki

Hauna fact kaa kimya
 
Mwanaume anayeshabikia mpira ananifaa kinyama
Ushabiki wa mpira na maendeleo ni ardhi na mbingu....hakuna koneksheni hapo

Mwanaume asiyefuatilia mpira naonaga kama mdada mwenzangu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umenena ila mimi sijaegemea sana kwenye mipira akili yangu inawaza maboresho muda wote.
 
Very stupid akili yako imejaa matope
Nina gari tatu
Nina nyumba mbili hapa dar
Nina maduka mpk mkoan

Na ni shabik wa mpira (simba& liver) kindaki ndaki
Naweza ahirisha ratiba yoyote ikiingiliana na mpira

Rud shule mpuuzi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…