Wadada mnavosema mnataka mwanaume wa kuwahudumia, kipato cha huyo mwanaume kiwe ni sh ngapi kwa mwezi?

Umeshapata jibu hapo la Uzi wako, huyo alikua anafanya matangazo kwamba 30K inamhudumia, aka 900K kwa mwezi surplus.
 
Chukua weka ndani uwe unajichapia bila wasiwasi mwingi sana maana unakua na uhakika nayo hizo za kuokoteza dude likipiga pancha mpaka unakuja kuziba tairi au kubadirisha mpira na tairi ushaingia cost za kutosha tu
Kaka kunazingine unaweka NDANI lakini KUPIGA BADO unapangiwa, kila Mwisho WA MWEZI TU ANADAI atazeeka haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…