Wadada mnavosema mnataka mwanaume wa kuwahudumia, kipato cha huyo mwanaume kiwe ni sh ngapi kwa mwezi?

Wadada wanapenda tu kudhalilika, kwa nini wasifanye kazi wajihudumie wenyewe! Unakuta binti mzuri na akili timamu anakuwa ombaomba, what a waste!

Siwezi kumtongoza mwanamke asiye ya shughuli rasmi ya kipato cha kumtosheleza. Never!
sio wafanye kazi,ni waolewe! Maana katika kufanya kazi hupelekea kujiuza.
 
Swali la msingi lipo kwako.. Kwanini uwahudumie?? Hiyo sheria imetoka wapi???
 
Tafuta sugar mommy ule maisha. Unajiwekea usiku bure!😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…