Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

Hii tabia ya kuleta ujanja ujanja kwenye ulipaji wa deni haina jinsia. Wapo binadamu wa kiume nao huwa hawarudish pesa za watu tena kama mpo mbali hata simu zako hazipokelewi.

Tuwe waaminifu.
 
Inaonekana ametingwa au amekosa alipotegemea kupata. Mpe muda mpaka mwisho wa mwezi uone. Asipokurudishia jua alipanga kukutapeli.
Ila jamani msikopeshe watu hela. Hawalipiiii
Hawalipi kwa makusudi au vyuma vmekaza?
 
Mvumilie tu Mkuu sidhani kama ndio lengo lake kutokukulipa.Huenda ikawa hajapata.

Ila siku tano tu unalalama huwezi jua labda anasubiria mwisho wa mwezi ndio akugee.
 
hawa viumbe (ukimtoa mama yangu)wanamtazamo hasi ktk suala la msaada hasa fedha,wanafikiria tu wao niwakusaidiwa,akipewa basi hakunahaja ya kurudisha ndo imetoka anaona ni kama haki yake. Na olewako umtongoze papuchi hupewi atakuzuga umpetipeti tu na mwisho wa siku atakuambia kwanza umemkosea heshima kumshika shika, hatimaye ndo imetoka usubiri mamemo ya shombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…