Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

Hahahahaa. Lol

CC. Naniliu. [emoji12]. Kaishia kuwa kama mwizi anajiiba iiba hatari.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madeni haya khaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madeni haya khaa
Wacha kabisa. Unaweza nuniwa kisa unadai chako.
 
Ni mbaya sana...

Wakati unaazima pesa kwa mtu, kumuaminisha kwamba uterejesha siku sii nyingi wakati unajua siyo ukweli...

Mtu anakupa haraka haraka akitarajia hizo siku sii nyingi utamrudishia badala yake inakua miaka...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom