Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabaamedi karibu wote wanaishi kwa kufanya umalaya. Pale bar ni kama platform tu ya kujitangazaHujui mabaamedi nao wana watu wao mkuu.
Leta picha ya huyo baamedi tuconfirmJuzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and females.. kuna kibinti ni baa medi anafanya kazi hapo ni mzuri wa kawaida, ana kaumbo kadogo na kashepu namba nane, mweupe kazuri kiasi, kwa vile ni baa medi, sikuona haja ya kumfuata coz nliona ntajipotezea muda na hela, na cv yangu kitaa itaharibika.
Sasa kuna jamaa alikua anamshobokea huyo demu, yani huyo jamaa ananunua supu ya 1500 wanashea na huyo demu, jamaa hana hela kabisa, hata nyama robo anakopa, alipe kesho, siku ya pili uyo baa medi anamshobokea uyo uyo jamaa, mdada anamwambia jamaa "sina hela ya kula", na jamaa naye anasema hana hela ya kula, huku jamaa ameagiza sprite moja, demu hana kinywaji, Nkajiuliza huyo mkaka ndo mtoa hela pekee anaekuja kwenye hio baa?
Kama binti unasaka mkaka wa kukuhonga, unamgandaje mwanaume ambaye hata kula yake shida, hata kama huyo mwanaume ni mtoaji? Yani supu ya TSH 1500 mnashea wewe na mwanaume, are u serious, kama mwanaume hana hela and u need akuhudumie tu, si umuache, why do u entertain him.
Ilikuwa ni scenario ya kusikitisha, nikawaza mtu anajishusha thamani, just to eat makombo.