Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

MillionHairs mm tatizo ni ngozi yangu ya kichwa ina mmba sana mpaka nilinyoa nimeanza tena lakini mmba ni kikwazo kwangu. Nimeishatumia dawa nyingi sana za mmba bila mafanikio.
 
Last edited by a moderator:
mimi nywele zangu hukatika mara kwa mara na ni za vrown. nipake dawa gani kuzirutubisha?
 
ni mafuta gani nitumie kujiweka rough dreads kwa natural hair
 
Nywele zangu ni ngumu ila nyingi dawa nyingi nshaweka hazikorei dawa yaan znaweza zkakorea kidogo sana yaan kww kifupi hazijawahi korea dawa nipake dawa gan..tcb.utrasheen.browout.olveroil ya kopo box..dakenlove ya box zote tayar sasa natumia easywave kidogo angalau nishaur pia na steaming gam
 
ni dawa gan nzuri ya kutengeneza kucha zilizoharibika (za mguu)
 
nashukuru kwa elimu unayopatia watu mimi natamani ku dread nywele zangu kwa sasa zina dawa pia sijui ni product gani za kutumia kama itawezekana ku zi dread kwa kifupi sijui nianzie wapi kutimiza azma yangu ya kuwa na dread

Sorry for my late reply…ushauri wangu kwako ni huu,nenda salon yoyote wanayodili na natural hair ila kwa sara subiria kwanza hiyo dawa ya kwenye nywele yako iishe ndipo uende ukiwa natural…watakushauri na watakuambia ni product gani ambayo itaendana na nywele yako kabla ya kukuhudumia.
 
Sorry for my late reply…daah nimecheka sana! anyway hii inaitwa HATA KWETU WAPO.
Kusema ukweli siwezi kukurudishia imani yoyote kwani nimekuuliza salon gani au spa gani ambayo umeshapita hapa Dar naona haujanijibu,pili nimekuuliza je walikupima body au face skin yako kabla ya huduma nalo ujanijibu,tatu nimekuuliza je walitumia product gani naona nalo ujanijibu…badala yake kila ninavyozidi kukusoma between the line naona kama kuna mipasho au vijembe fulani kutokana na huduma za salon. Ila nimefurahi kusikia umeamua kujinunulia kila kitu na sasa unajitengeneza mwenyewe nyumbani 'kitu ambacho hakipo' Hongera na keep it up.
 
MillionHairs mm tatizo ni ngozi yangu ya kichwa ina mmba sana mpaka nilinyoa nimeanza tena lakini mmba ni kikwazo kwangu. Nimeishatumia dawa nyingi sana za mmba bila mafanikio.

Anti dandruff shampoo na treatment yake ya oriflame ni nzuri imenisaidia pia
 
Last edited by a moderator:
MillionHairs mm tatizo ni ngozi yangu ya kichwa ina mmba sana mpaka nilinyoa nimeanza tena lakini mmba ni kikwazo kwangu. Nimeishatumia dawa nyingi sana za mmba bila mafanikio.

Sorry for my late reply…hili tatizo ni toka udogoni au umelipata ukubwani baada ya kuanza urembo wa nywele?

Na je baadhi ya salon ulizoenda umewahi kuwaelezea hilo tatizo? na walikujibu nini?
 
Napenda kutinda nyusi sana na pia kupaka wanja...
Swali:ni namna gani ya utindaji huo wa nyusi unaotumika hapo au kuna kitu wanapaka ambacho kipo tofauti na wanja..msaada tafadhali napenda sana urembo....
Pili kipi kati ya scrub na feco ndy kizuri

Facial ni kitu kingine na face scrub ni kitu kingine…ila ufanyaji wa huduma zake zinafanana kwa mbaaali kidogo ila faida zake ni mbingu na aridhi. Hilo swali lingine linahitaji darasa na hii siyo sehemu yake.
 
Sorry for my late reply…anyway jape sijaziona na kuzishika hizo nywele zako lakini jaribu reluxer ya OLIVE MIRACLE na steaming yake ya kuingia kwenye steamer. Kwa ushauri wa zaidi nenda kwenye professional salon yoyote ile na uwaeleze hili tatizo na watajuwa jinsi ya kukusaidia.
 
Napenda kutinda nyusi sana na pia kupaka wanja...
Swali:ni namna gani ya utindaji huo wa nyusi unaotumika hapo au kuna kitu wanapaka ambacho kipo tofauti na wanja..msaada tafadhali napenda sana urembo....
Pili kipi kati ya scrub na feco ndy kizuri

hiyo kitu niliona nirvana waliielekea vzri tu
 
tuwekee basi na simu tukukong'oli

nina manatural hair marefu magumu nayapenda ila yanauma nikichana please i need help
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…