Sayaka
Senior Member
- Aug 3, 2014
- 162
- 50
Sayaka, mara nne au imezidi sana ni mara tano...inategemeana na texture ya nywele yako ikoje.
Sawa mimi nafanya mara mbili tu . Natumaini hakuna shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sayaka, mara nne au imezidi sana ni mara tano...inategemeana na texture ya nywele yako ikoje.
![]()
Mwaaaa
Mkuu sirudia product za awali bali hizi za T - Tree na Dark & Lovely ni mwezi wa saba sasa naendelea nazo ingawa nywele yangu imekuwa nyembamba sana.
View attachment 123948 View attachment 123950View attachment 123951
Wapendwa ndugu zanguni wa MMU hasa wadada...kama kunakitu au vitu vilikuwa ninakutatiza kuhusiana na swala zima
la urembo wa salon' basi chukua nafasi hii kuniuliza swali lolote lile linalohusiana na huduma za salon.
Hair Reluxer
Hair treatment
Hair special treatment
Misuko
Hair designing &
Beauty clinic (full package)
Je,unatatizo lolote la nywele zako za asili? Au unatatizo lolote la kucha zako za asili?
Yaliyo ndani ya uwezo wangu nitayajibu na yale ambayo yatakuwa nje ya uwezo wangu basi nitayaacha.
"UZURI UNAZALIWANAO ILA UREMBO NA USAFI WA MWILI UNAJIPA MWENYEWE"
nashukuru kwa elimu unayopatia watu mimi natamani ku dread nywele zangu kwa sasa zina dawa pia sijui ni product gani za kutumia kama itawezekana ku zi dread kwa kifupi sijui nianzie wapi kutimiza azma yangu ya kuwa na dread
Du! mie niliacha kufanya facials muda, baada ya kuona kila ninachosoma kuhusu ngozi na kushauriwa na wataalamu saluni wanachakachua kiidoooogo, kila napoenda, naona siridhiki. nanunua products =online nafaanya mwenyewe.
imani imepotea kwangu mimi binafsi.
kuhusu nywele nimeweka natural. mara chache huwa nashonea weaving, sina imani kabisa na saluni za bei mbaya au nzuri, vyeti ukutani au reception yenye kufanana na hoteli, wahudumu wa kimataifa au wa kitanzania, sio kwa TZ tu, hata nchi chache ambazo nimepita.
Ila ukinirudishia imani ntafurahi sana.
Ahsante...mim nataka saloon inayo treat natural long hairs,name locations please
Kucha hazirefuki zikikua kidogo tu zinakatika tu
MillionHairs mm tatizo ni ngozi yangu ya kichwa ina mmba sana mpaka nilinyoa nimeanza tena lakini mmba ni kikwazo kwangu. Nimeishatumia dawa nyingi sana za mmba bila mafanikio.
MillionHairs mm tatizo ni ngozi yangu ya kichwa ina mmba sana mpaka nilinyoa nimeanza tena lakini mmba ni kikwazo kwangu. Nimeishatumia dawa nyingi sana za mmba bila mafanikio.
Napenda kutinda nyusi sana na pia kupaka wanja...
Swali:ni namna gani ya utindaji huo wa nyusi unaotumika hapo au kuna kitu wanapaka ambacho kipo tofauti na wanja..msaada tafadhali napenda sana urembo....
Pili kipi kati ya scrub na feco ndy kizuri
Nywele zangu ni ngumu ila nyingi dawa nyingi nshaweka hazikorei dawa yaan znaweza zkakorea kidogo sana yaan kww kifupi hazijawahi korea dawa nipake dawa gan..tcb.utrasheen.browout.olveroil ya kopo box..dakenlove ya box zote tayar sasa natumia easywave kidogo angalau nishaur pia na steaming gam