MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
- Thread starter
-
- #81
Pole sana mpenzi wangu…kwanza ulianza kutumia dawa gani na sasa unatumia dawa gani? je unabadilisha badilisha dawa kila wakati?mi naomba unisaidie..nitumie nin ili nywele zijae kwasababu napenda nywele nyingi na sina kiivo....pili kwanin nywele zinaweza kukua kwa kasi afu ikafika mda zinasimama..nini solution ya kupungua kukua au kuna vitu nakosea...tatu nywele zangu zinadawa lakini ni nyeusii lakin siku zinavoenda weusi unapungua...nifanye nin kuprotect hair colour..
Okay nimekupata…kama kweli kichwa kinakuuma upande mmoja kama ulivyosema basi hilo siyo tatizo la msusi bali nahisi ngozi yako kichwani iko very sensitive na haitaki mivuto yoyote.Mara nyingi natumia rasta za kawaida tu na pia kusuka nywelw zangu ..... sijawahi kuwa na tatizo la kichwa ... ila nikisuka tu iyo wiki ni mateso kwangu . Na ninapendwza wewe acha tu
Ha ha aaa…pale wapi? mimi napatikana hapa JF, ila kama utapenda kuifanya naweza nikakuelekeza salon mbili tatu hivi ambazo utapata hii huduma.mnayo hii huduma pale?? ni how much?
Thanks, siko Dar lkn nafikiri kwa faida ya wengi ungetupatia your top 10 in Dar.Mimi napatikana hapa JF kama hivi unavyoona,ila kama utahitaji beauty clinic mzuri basi nitakuelekeza kwani ziko nyingi sana ndani ya Dar kuanzia Mikocheni,Mbezi,Masaki, Msasani na Posta area.
Huyo mwanafunzi wako anataka kujifunza nini?
Kwanza kwanini ulikata nywele? Zilikuwa zinatatizo lolote au uliamua kuzikata tu?
Thanks, siko Dar lkn nafikiri kwa faida ya wengi ungetupatia your top 10 in Dar.
Mwanafunzi/wanafunzi wangu wanahitaji full beauty package nataka kufungua salon huku magharibi ya Tanzania niliko.
Kwanza hongera kwa kuwa na ngozi kavu kichwani.Mie natumia beautiful begining box,au Argan oil products mafuta ya nywele napaka olive oil na parnevu oil laki nywele zangu nikavu nikipaka mafuta siku 2 tu nywele ishapauka ka sijapaka mafuta nina ngozi kavu kwa kifupi nitumie mafuta gani nywele yangu ishine
Any way nitakuwekea chache kwanza ambazo ni mzuri.
1.Lemon Spaa - Masaki
2.Ndani ya Kempisyki Hotel- kivukoni road posta
3. Ndani ya Serena Hotel- mtaa wa Ohio posta
4.American nails- Kinondoni na
5.Million Hairs Salon - ipo Mikocheni kwa Mwalimu nyerere
Kuhusu huyo/hao wanafunzi wako nafikiri nitakuPM na nitakuambia wapi pa kuwapeleka
makovu ya kawaida ivi..niliumia wakati wa kucheza utotoni..na madoa ya chunusi ivi
ntaomba nikupm badae
kuhusu makovu ya utotoni..lakini ya chunusi nimetumia bithaa ya oriflame
ina content ya teatree imenisaidia sana..haina chemicals na ni for
sensitive skin
Sawa mpenzi…kwa vile nywele zako ni fupi ningekushauri uende salon yoyote ile ambayo wanatoa huduma mzuri na uwaambie wakuweke Curl ya Texture my way ya Organic na kama hawana hiyo product basi nenda pale mjini kwa SH Amon utaipata,ikiwezekana ununuwe na curl keeper yake kwa ajili ya kujipaka wewe mwenyewe kila siku asubuhi.Nywele zangu hazina dawa na ni fupi nilizikata ili niwe na nywele natural....
Sasa nahitaji kuzifanyia matunzo pamoja na ufupi wake nitumie nin ili niwe na nywele zenye afya...? Na pia nywele zangu ni laini..?
swali lingine..kuna hii style inaitwa ya vibomba kwenye saloon yenu mnaweka nywele vibomba?
Asante sana mamii kwa kujibu maswali yetu kona hii ya urembo..hususan nywele
Sasaa... naomba nijuze, mimi nina asili ya nywele laini (yaani sio kipilipili) na zipo chache kwa kweli. Kuna kipindi, kama 3 yrs iliyopita niliweka dawa, ilikuwa beautiful begining..jamani.... zilikuja katika mpaka nilijuta nikaamua nizikate nianze upya hivyo mpaka sasa bado zipo hazina dawa na ni ndefu. Huwa nafanya steaming mara kwa mara na kweli mabadiliko naona maana hazikatiki sana..naomba nishauri kwa nywele nyepesi relaxer gani inafaa, na steaming ipi ni nzuri zaidi kwa aina hii ya nywele... kwa kipindi hiki natumia steaming ya perfect. Nashukuru sana kwa mchango wako mamito
Sawa mpenzi…kwa vile nywele zako ni fupi ningekushauri uende salon yoyote ile ambayo wanatoa huduma mzuri na uwaambie wakuweke Curl ya Texture my way ya Organic na kama hawana hiyo product basi nenda pale mjini kwa SH Amon utaipata,ikiwezekana ununuwe na curl keeper yake kwa ajili ya kujipaka wewe mwenyewe kila siku asubuhi.
Hapo kwenye vibomba sijakuelewa…au unaongelea mirija style?