Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Sanaaaa, nikuelezee binti kungwi? Nikiona picha tu naweza kufahamu Hadi the way unavyoongea,vile unanukia ,vile unatembea 😅..Hadi unabehave kwa partner wako
Kungwi mwenzangu nakugawa.naona picha zangu zitakuwa zinanuka ugoro tupu maana ni mbaya
 
Kungwi mwenzangu nakugawa.naona picha zangu zitakuwa zinanuka ugoro tupu maana ni mbaya
Why unaruka kwenye conclusion?acha kungwi atoe point dk 10 tu huko vijana watajaa hutopiga mizinga Bali wataomba hizo bank acc wakuvute ua 😅

Nasubiri ruksa yako nitoe sifa zako.
 
Humu jf Mimi pamenibariki Sana....sisi member was zaman humu pametubariki mno...
 
Why unaruka kwenye conclusion?acha kungwi atoe point dk 10 tu huko vijana watajaa hutopiga mizinga Bali wataomba hizo bank acc wakuvute ua 😅

Nasubiri ruksa yako nitoe sifa zako.
Ndugu kungwi hakuna kitu kizuri kama kuwa miss independent 😀😀chaaaaeeeee…

💯 hakuna atakaekuja kungwi 😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…