Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Kungwi mwenzangu nakugawa.naona picha zangu zitakuwa zinanuka ugoro tupu maana ni mbaya
Why unaruka kwenye conclusion?acha kungwi atoe point dk 10 tu huko vijana watajaa hutopiga mizinga Bali wataomba hizo bank acc wakuvute ua 😅

Nasubiri ruksa yako nitoe sifa zako.
 
Humu jf Mimi pamenibariki Sana....sisi member was zaman humu pametubariki mno...
 
Why unaruka kwenye conclusion?acha kungwi atoe point dk 10 tu huko vijana watajaa hutopiga mizinga Bali wataomba hizo bank acc wakuvute ua 😅

Nasubiri ruksa yako nitoe sifa zako.
Ndugu kungwi hakuna kitu kizuri kama kuwa miss independent 😀😀chaaaaeeeee…

💯 hakuna atakaekuja kungwi 😊😊
 
Back
Top Bottom