[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nimeshawahi ifanya mwaka 2011 nili createa I'D nikawa najiita rola nilikuwa natumiwa sanaaaa namba za vocha pm nilikuwa na nyodo balaa na wajinga wakawa wanashoboka. Invisible akai emerge
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hahahahahah kumbe we yashakukuta braza, haya mwambie basi anirushie pic yake nimuone basi
Upo lindi sehemu gani mie pia nipo lindiJana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023...
Nimehamia Dom moja kwa moja mkuu.
Hahahahahah sawa sawa mkuu, mi sina shida zaidi ya kumuona tuNilimaanisha utumie mbinu nyingine tofauti na "imethibitishwa" , maana hakana njaa ndogondogo hako.
Wakiwa na ID Za kike[emoji28][emoji28]
Wanaume Kazi mnayo
Naogopa kutekwa mkuu! Nihakikishie usalama wangu mbele ya mashahidi.Kwa bahati mbaya sijawahi onana na wanawake wa humu ndani, sijui lini nitaonana nao. Eti binti kiziwi naomba nipate bahati hiyo kupitia kwako.
Wadodoma ni kama vile kila siku tunaongoza league za JFπJana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023...
Kama gilesi makalio kutingishika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nimeshawahi ifanya mwaka 2011 nili createa I'D nikawa najiita rola nilikuwa natumiwa sanaaaa namba za vocha pm nilikuwa na nyodo balaa na wajinga wakawa wanashoboka. Invisible akai emerge
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Ni hataree sana.Mfumo dume na hapo wanataka 50 kwa 50 wakati hawana roho ya kutoa ila wana roho ya kupokea tu.
ππππHao kina kaka ni watu wabadi sana π
Babu wanini na wajukuu tupo tele hadi PM tunafika na tumerithi kujua majukum yetu. Alafu nmerithi kwa babu mzaa babu unayemtaka
Ewaaaaaβ¦. Nilijua umesahauNafahamu. Maana ulisema kwenye kupiga game hujivungi
Anacheka πππππ