Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nilishawahi kuwa na pisi ya aina hiyo lakini cha ajabu haikurudi kijijini bado iko mjini inakomaa tafajsiri yake kuna madanga mengine yalikuwa nyuma yangu
 
Hivi hiyo mizinga mkiigomea huko mnakoombwa, itakuwaje? Tatizo upande mmoja mnajiwekea mazingira ya kupigwa mzinga, wapigaji wakija mnatuma mjumbe kulalamika...kataeni pesa si zenu?
 
Maskini..🥺🥺🥺keshapoteza muelekeo jamani.

Huwezi kumkomboa huko alipo ndugu yangu?🥺🥺🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…