Alipatwa shida huwez amini niliejitokeza mim tu nikajiuliza huyu hana marafiki au ndugu wa karibuPole sana kwa yaliyokusibu, watu huwa wanasahau kuwa shida haziishagi, zipo ukisaidika leo haimaanishi ndio haitokaa itokee kwako tena. Huyo kashavunja uaminifu na sidhani kama ataweza kuujenga.
Maisha ni kama kiganja na vidole, kuna wenye vidole vimetofautiana urefu(uwezo haulingani) na kuna ambao hawana hata viganja (Hawana kitu kabisa). Kuna mda ukijaaliwa chochote kitu mshukuru Mungu na ukiona inafaa na ipo ndani ya uwezo wako toa kwa wahitaji.Kuna watu wana shida sana hajui hata atakula nin wakati we umeweka mchele ndani,mafuta kila kitu na unalia eti una shida 🙆🏼♂️🙆🏼♂️
Huyo tayari anazo tabia za kitapeli na uzulumishi ni nadra sana mtu wa aina hiyo akawa na watu wa kumsaidia hasa kwenye jambo linalohusiana na fedha. Alichokifanya kwako ni picha halisi ya anachokifanya kwa wengine, wewe unamsaidia kwakuwa unayo huruma.Alipatwa shida huwez amini niliejitokeza mim tu nikajiuliza huyu hana marafiki au ndugu wa karibu
Unajua hata ukiwa mbaya kiasi gani kila mtu huwa anakuw ana watu wake wa karibu wa kwenye shida na raha yeye hakuna,nikasema huyu atakuwa na shida sana
Nilijiambia hivyo kabisa kama wewe ulivyowaza maana alijirudisha kwangu haraka sana nikajua huyu kajirudisha anajua hana mwingine wa kumfariji kwenye matatizo yake na nadhan anataman sana turudi kama zamani haiwezekan na nadhan huwa nafanya kwaajili ya watoto tu lingekuwa lenyewe nishalifuta kabisa 😂😂😂Huyo tayari anazo tabia za kitapeli na uzulumishi ni nadra sana mtu wa aina hiyo akawa na watu wa kumsaidia hasa kwenye jambo linalohusiana na fedha. Alichokifanya kwako ni picha halisi ya anachokifanya kwa wengine, wewe unamsaidia kwakuwa unayo huruma.
Ukitaka kujua kama uja shida muangalie wa chini yakoMaisha ni kama kiganja na vidole, kuna wenye vidole vimetofautiana urefu(uwezo haulingani) na kuna ambao hawana hata viganja (Hawana kitu kabisa). Kuna mda ukijaaliwa chochote kitu mshukuru Mungu na ukiona inafaa na ipo ndani ya uwezo wako toa kwa wahitaji.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]So great to hear that from you.
Same here my love
Kuwa makini huruma yako isije ikakuponzaNilijiambia hivyo kabisa kama wewe ulivyowaza maana alijirudisha kwangu haraka sana nikajua huyu kajirudisha anajua hana mwingine wa kumfariji kwenye matatizo yake na nadhan anataman sana turudi kama zamani haiwezekan na nadhan huwa nafanya kwaajili ya watoto tu lingekuwa lenyewe nishalifuta kabisa 😂😂😂
Binafsi huwa naomba, sasa sijui kuomba ni kuomba omba? 😀Ni kweli kuwa mnaomba sana, au mnasingiziwa tu..?
Hii umeiweka kitaalamu sana😄.Binafsi huwa naomba, sasa sijui kuomba ni kuomba omba? 😀
Wewe unaomba lakini kuna wengine wana OmbaOmba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi huwa naomba, sasa sijui kuomba ni kuomba omba? [emoji3]
Hehe! Okay good for youBasi kama unaogopa! But mimi sio Mwanaume
Heee wewe😆😆😆unalia mwezi mzima…mfereji wa machozi naona unakuwa umetoboka.😂😂😂 kuna rafiki huniambia hivi umeandikiwa na daktari eti
Kuna rafiki yangu aliniudhi kitu nililia mwez nikikumbuka tu nalia ,uzuru huwa nna watu wananibembeleza na hawanichoki 😂😂😂
Naamini wapo watu wa hivyo, inategemea na jinsi jambo linavyomgusa na wengi wao sio wepesi kuachia/kusahau.Heee wewe😆😆😆unalia mwezi mzima…mfereji wa machozi naona unakuwa umetoboka.
Hivi Half american unaliamini hili ndugu yangu?au anatufunga mnyororo
Kweli umepatia tunakuwa wagumu kusahau kulitoa moyonNaamini wapo watu wa hivyo, inategemea na jinsi jambo linavyomgusa na wengi wao sio wepesi kuachia/kusahau.
uligongwa au sio?🤣🤣🤣🤣Tena niligongwa hapo Kamata 2017
Ila unakuwa umeshasamehe?Kweli umepatia tunakuwa wagumu kusahau kulitoa moyon
Ukipita muda mrefu sasa miaka miwili ndio alivyonitafuta tena tunaonana nimesameheIla unakuwa umeshasamehe?
We jamaa..!!Hata Kama hukujibu tayari kakupiga laki
Uwe unaikubali hali mapema itakusaidia kwenye kusamehe na kusahauUkipita muda mrefu sasa miaka miwili ndio alivyonitafuta tena tunaonana nimesamehe