Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana


Buku jamani uwii kuendekeza njaa
 
Sana unaombaje buku mtoto wa kike?? kama umeamua kupiga vizinga basi piga vizinga vya maana
Eti buku jamani chaah 😁
Hata vocha haitoshi.


Kwanza wanakuwaje na wanaume ambao hawajiongezi!
Yaani eti mtu anasubiri hadi umuombe jamani.. Wanaume responsible wanatoa bila kuombwa.
Kikubwa na kuvumilia na kujiweka katika standard za kupewa bila kuomba.
 
Kwenye hicho kikao sikuwepo HA.

Hapana hakomolewi mtu hapo ni kuuridhisha moyo na kuuweka mbali na mazingira hatarishi😆
Uwe unahudhuria vikao vyenu na kuulizia ajenda iliyojadiliwa.

Unataka kutukomolea mwenzetu, kunywa lewa moyo utaridhika 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…