Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Hakuna jambo la hatari mno kama kukuta watoto wa kiume wanapiga soga za umbea-umbea na watoto wa kike, hasahasa kuhusu maisha yao binafsi ya mahusiano. Ubaya zaidi wanamtuma mtoto wa kike kuja kuwasemea. Noma sana yani....

Halafu ninyi matajiri wa Jamii-Forums huwa mnashida sana. Hapa jukwaani huwa hamuachi majigambo. Mara kuishi Marekani, Ulaya, mko ofisi kubwa ,mna elimu nzito, na mifuko yenu imetuna mapesa.

Sasa mabinti wakianza kuwafuata huko PM kuwatandika vizinga au mkashindwa kumalizana vizuri huko nje, huwa mnarudi hapa jukwaani kuchafuana na kuanikana. Kwanini mambo yenu ya faragha msiyamalizie huko huko nje au PM. Yaani kila kitu chako binafsi lazima uje ukianike humu ???

NB: Kama huu uzi una ukweli, basi watoto wa kiume wamefika pabaya mno. It smacks a bad taste...
Boraaaa wee umesemaaaa.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
tatizo ambalo utalishindwa kwangu nimoja tuuu.yani utanguluze picha yako niione hayo mengine hakuna shida kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hapo nshashindwaaa mda tyuuh.
 
sio ubaguzi ndio ukweli tv ya chogo la kawaida.
wanaomiliki hisense hawajisemi, kwa lips zile kwenye ile avatar uliyoitoa haiwez kuwa inamiliki hisense tv
Nimeshakupoteza jamani🥺🥺🥺🥺flatscreen shida sana.

Imebidi nijiangalie Kwa nyuma kwanza.lakini kadri ninavyogeuka nijitazame sikutani na ninachokitafuta😄😄 very sad
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]niliacha kwenda huko baada yakuona pichazao ni mbaya mbayatuu.nifanyie wepesi mkuu Kama nimweupe lakini Mana kule niweusi tupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utabondwaaaa wee apo, mxxxxieeeeew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weee.......
75DA0C33-8F82-4D76-9E8C-00FF2FF6B382.jpeg
 
Back
Top Bottom