Wadada wa Dar na Visigino vyao

Wadada wa Dar na Visigino vyao

Mwenye mosimo zake aje afwate
IMG_7382.jpg
 
Mambo zenu jamani.

Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani.Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani Hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi?hii yote Ni Sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote hana usafi,unakutana na dada mzuri kavaa nguo yake nzuri ukimuangalia chini anakukata stimu kabisa
Jamani hebu tusugueni hivyo Visigino yaani mtu kisigino hakieleweki,cheusi utasema alikuwa anasigina masizi🙄!Huyu mchina asitudanganye na slipper zake,na vile Sasa katoa hizo kopi za Tommy Hilfiger Basi yamefika wa wadada wa Dar es salaam,hebu tuwe tunavaa na viatu siku moja moja tutunze miguu hiyo.Hivi mbona Mbeya na Arusha wasafi tu wenzetu.

Unaajita Diva na kisigino kichafu wapi na wapi!Tubadilike
Itakua unaongelea dar vijijini!
 
Hili liwekewe msisitizo kwa wadada wanaojichubua, hawa raia huwa wana miguu inatisha sana kwenye visigino na ankle zao. Unamuangalia mpaka unapata kinyaa.

Wengine wanaenda mbali zaidi wanakuwa na magaga ( visigino vimepasuka), size ambayo hata shillingi inajificha.

Unawaza kama usafi katika sehemu inayoonekana na watu mara kwa mara umeshindikana, vipi huko ndani ambako hapaonekani?

Kero nyinyine ni mawigi, aiseeeeh mengi huwa yananuka vibaya sana. Wale wanaojua kutunza nywele zao zinakuaa na kaungevu fulani na zinanukia, mbarikiwe huko.


Mleta mada asante anaa, naamini watabadilika.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] imebidi nijiangalie kabla sijacomment,

Mimi binafsi viatu navaa nikiwa naenda interview [emoji3], kanisani au shereheni kidogo na date huko kwingine woooi ni visendo tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2] ila miguu yangu misafi naitreat inavyopaswa
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nahisi nilishawahi kuandika hili pia
Kama siyo huku sijui nj wapi unamkuta mdada mrembo usoni ila miguu Jamani[emoji119]
Kuna na hivi Vipako wanapaka miguuni Kama ndizi choma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu ukute sasa kafika mahali kakaa,na mbele yake kuna kistuli,anavua vile visendo anaweka miguu yake juu ya kile kistuli huku kakunja nne,yani hapa aibu unaona wewe,unachofanya unakuja kukaa karibu nae ili usiwe unaangalia ile miguu kule chini...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom