Wadada wa Dar na Visigino vyao

Itakua unaongelea dar vijijini!
 
Hili liwekewe msisitizo kwa wadada wanaojichubua, hawa raia huwa wana miguu inatisha sana kwenye visigino na ankle zao. Unamuangalia mpaka unapata kinyaa.

Wengine wanaenda mbali zaidi wanakuwa na magaga ( visigino vimepasuka), size ambayo hata shillingi inajificha.

Unawaza kama usafi katika sehemu inayoonekana na watu mara kwa mara umeshindikana, vipi huko ndani ambako hapaonekani?

Kero nyinyine ni mawigi, aiseeeeh mengi huwa yananuka vibaya sana. Wale wanaojua kutunza nywele zao zinakuaa na kaungevu fulani na zinanukia, mbarikiwe huko.


Mleta mada asante anaa, naamini watabadilika.
 
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nahisi nilishawahi kuandika hili pia
Kama siyo huku sijui nj wapi unamkuta mdada mrembo usoni ila miguu Jamani[emoji119]
Kuna na hivi Vipako wanapaka miguuni Kama ndizi choma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu ukute sasa kafika mahali kakaa,na mbele yake kuna kistuli,anavua vile visendo anaweka miguu yake juu ya kile kistuli huku kakunja nne,yani hapa aibu unaona wewe,unachofanya unakuja kukaa karibu nae ili usiwe unaangalia ile miguu kule chini...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…