Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

Sawa the mafia
 
Ni kweli kabisa Madam, uandishi wako unaonekana ni wa rika langu kbs, JF ina chocho nyingi sana, ni uzururaji wako tu, very addictive.
 
Kwa maelezo yako tu, unaonekana una awareness kubwa sana
 
Wanatafuta hela hao..... Njaa mbaya utu unapotea 😂
Nakazia

MWanzo kabisa jf ilikuwa na member wasomi,viongozi wakubwa,diaspora,wafanyabiashara na wastaafu na wanaharakati wa mapinduzi

Na hao niliowataja ilionekana mapene wanayo,sasa sjui ni nani aliwatonya hao wadada ikabid waje wajaribu bahati zao huku

wadada wa mwanzo walikuja kama wife material

Wadada wa siku hizi mfano kama kadogo wao wanakuja kuuza na wanaweka wazi kabisa kuwa inauzwa hii ni baada ya kuona wale wa mwanzo waliojofanya wife material kupigwa matukio na hawakupata chochote
 
Watu wa hovyo kwanini usiseme unahitaji msaada ukasaidiwa ?

Jukwaa hili inabidi liheshimishwe kivingne maake mpaka watu wa rangi rangi wapo
 
Basi wengi ni wale wenye characters za kiume mkuu, mwanamke kuacha tiktok, fb, insta kuja jf ni ngumu sana, pia anakuwa na elimu ya kujitambua sana(msomi)

Mwanamke wa kawaida hawezi kuacha kujisnap aje jf kuitana mkuu, kiongozi, bro
Duh!
 
Kwani jf ina maajabu gani?
Halafu pia inategemea na choice ya mtu..mimi binafsi sio mpenzi wa tiktok wala sina account huko
Kwahiyo nitakuwepo jf kusoma na kufurahia post za humu...au mlitaka muwe wanaume wenyewe?
Mngetongozana je sasa 🤣
Ndo hapo sasa labda wanahitaji kubakk wenyewe 🤣
 
Basi wengi ni wale wenye characters za kiume mkuu, mwanamke kuacha tiktok, fb, insta kuja jf ni ngumu sana, pia anakuwa na elimu ya kujitambua sana(msomi)

Mwanamke wa kawaida hawezi kuacha kujisnap aje jf kuitana mkuu, kiongozi, bro

Mnapataga wapi ujasiri wa kutuongelea na kutuwekea limits hivi? we unawajua wanawake wote duniani na characters zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…