Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Yaani zile zakuigiza kitaa zote anatupia humuDogo unaambiwa ununue chakula unapandisha uzi humuπππππππ
Endelea kujitafuta!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had baas, khaaaah[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wadada wengi ni vichefuchefu sana, halafu ukiongea nao kwa bashasha wanahisi unawataka, kuna demu mmoja hapa Kitaa aliniomba vocha nikamnunulia tigo ya 2000 tena kiroho safi kabisa. Eti ooh huwa najiunga ya 3000 Mimi, nikamwambia lete hiyo vocha nikutumie kwa tigoPesa alivyoirudisha tu nikamwambia haya kwaheri tembea na Yesu. Huna shukrani wewe nakupa vocha ya 2000 bila terms zozote unanipangia?
Mpaka leo hii akiniona kwa mbali lazima abadilishe njia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyoo dada ana hoja, asikilizweHaaaah. Kuna mmoja kila nikimtext nimekumisi anajibu, tuma hela ili nione kama kweli umenimisi
Nakazia hii imekaa kiandamizi zaidi true kabisaNarudia tena
Mwanamke anatumia hela yako kujipendezesha ili apendwe na wanaume wenye hela zaidi yako.
Nimeshangaa kwa kweli.Msosi nacho ni kitu cha kumnyima mtu.
Kwan wewe hujawahi Kuwa na njaa My dear??Mnakutanaga wapi na hawa wadada wenye njaa hivi?
Namshukuru Mungu Sina njaa ya kuomba hela ya kulaKwan wewe hujawahi Kuwa na njaa My dear??
Kuna watu mna vichwa vigum kujifanya hamuelewi somo.Huyu baharia kafeli, kama huwez kuhonga hata ugali dagaa, achana nao
Ya petrol je?Namshukuru Mungu Sina njaa ya kuomba hela ya kula
UKute wanadandia vile visichana vya kufanya usafi maofisini, sasa hapo unategemea nini?Mnakutanaga wapi na hawa wadada wenye njaa hivi?
Hata kama si mtu alishe anapokulaUKute wanadandia vile visichana vya kufanya usafi maofisini, sasa hapo unategemea nini?
Kama sina nitapanda daladala hadi nipateYa petrol je?
Vile njaa nyingi tatizo..mshahara 100k humo humo nauli plus kuchelewshewa malipoHata kama si mtu alishe anapokula
Huogopi dunga dunga kwenye daladala??Kama sina nitapanda daladala hadi nipate