Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Jombaa hawa wanawake ni magodoro ya kulalia, unalaila leo kesho unatupa unachukua jingine
"Hawa wanawake" ....
je nakuuliza tu swali la ufahamu, mama yako mzazi angechezewa na kuachwa baada ya wewe kuzaliwa ungejiskia ushujaa? Ungemsifu baba yako kwa ushujaa alioufanya na kumwambia hio statement hapo juu kwamba "alikua ni godoro la kulalia tu"
 
utakuwa umeniambukiza, unajua sikuwa hivyo
teh teh
Kwa hiyo tushaanza kufana akili na mawazo? Mimi nataka tuchukue tabia yako ndo iwe yetu sote maana tabia yangu huwa siiamin kabisa
 
Sasa na ww unamgongeje wakati hujamzaa?kilicho kuachisha kwa hao 20 matajiri? Tafuta mmoja akuweke ndani uwe unapewa na ya mboga alafu ndio uje
Duh mkuu mimi huwa nina tabia ya kuonja onja ndo maana unaona list hapo juu ni kubwa sana
 
Mkuu mbona umeenda nje ya point aisee
 
Ukifirisika na upendo unapungua na kuna uwezekano mkubwa penzi likafa kbsa. Hawa viumbe vya section B ukiwa na hela unakuwa mtu na penzi linakuwa moto moto. Ukiishiwa migogoro inachukua nafasi.
Duh mkuu ushalambwa ban
 
Kwaasilimia fulani ni kweli...lkn nadhan kwasababu ya umaskin ndo maana unakuta wanasumbua coz wakiona sehemu nyingine yenye hela zaid hawaoni tabu kudanganyika... Ila matajiri nao wana tabu zao hawakawii kukuambia nenda huna chako hapa...... Ni Mungu tu atusaidie kwakweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…