Hata mimi nilikuwa najiuliza kama wewe. Ila nikagundua tatizo labda ni nyota. Maana unakuta ni mdada mkaleeeee hadi mimi mwenyewe natamani ningekuwa mwanaume ila maisha yake sasa. Na sio kwamba hana wanaume….. ana msururu wa wanaume ila wote hovyo. Akipewa sana ni buku 20.
20 nyingi sana kuna kipindi nilisha fika karatu niliona mabinti wazuri sana yani akikuona na laki ,unamwona anavyotetemeka kuja kuchunguza vizuri kumbe tabia zao mara nyingi ndio zinawaangusha
Well said...Wakipenda pesa mnawasakama kuwa ni gold diggers, wakiwavumilia hustlers, mnaona kama hawatambui thamani zao. By the way katika kitu ambacho sikipendi kukiona kwa mwanamke ni kuchukulia uzuri wake kama chanzo cha kuishi good life ambalo hawezi kuligharamia hata kwa thumni.
Kiufupi hakuna haja ya kumlaumu boyfriend wa mtoto mzuri ilhali yeye hana kikwazo au upungufu wa kutafuta pesa.. Atafute mwenyewe
Hata mimi nilikuwa najiuliza kama wewe. Ila nikagundua tatizo labda ni nyota. Maana unakuta ni mdada mkaleeeee hadi mimi mwenyewe natamani ningekuwa mwanaume ila maisha yake sasa. Na sio kwamba hana wanaume….. ana msururu wa wanaume ila wote hovyo. Akipewa sana ni buku 20.
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?
Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??
Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
Naona ni bahati tu kupata bwana wa kutoa matunzo licha ya kuwa wazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mitazamo hii ushoga ni ngumu sana kuisha. Watu lazima watalambwa unaweza kuta mimi ni mvulana unawaza hivi. Kesho mtu anakwambia akupapase na mjegeje kwenye makalio haingizi atakupa iphone 13 si unakubali? Maana unaamini sana katika kupewa.Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?
Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??
Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
Kuna msemo wa wahenga wa kizungu unasema
You are a product of your environment.
Mwanamke mzuri utakayekutana nae kwenye mishe za utafutaji kama kazini. Ana tofauti kubwa na mwanamke mzuri utakayekutana nae mtaani hana mishe ya kueleweka.
Mfano hai. Kampuni za ukaguzi wa mahesabu zimejaaa sana wanawake wazuri.
Pia bar nyingi, na mitaa ya uswahilini imejaa wanawake wazuri.
Hapo ukiweka chance ya kupata mume wa maana ama tajiri.. automatic wanawake wakaguzi wa mahesabu wana nafasi kubwa. Sababu mazingira yao na kazi zao wanakutana na wanaume wa maana tu
binti akijiheshimu na kutopenda kuwa juu, hata asipopata tajiri hutamwona akihaha kwenye maishaKweli uzuri sio kila kitu kuna tabia na kujua thamani yako. Huyo mmoja ni mzuri na yupo hapa dar ila anatembea hadi na makonda wa daladala ili asidaiwe nauli ya 400 sijui mia 5. Halafu ni shoga angu. Huwa natamani hata nimchape makofi.
Hana wazazi?Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?
Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??
Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
Tatizo linaanzia hapo "..haoni thamani ya huyu mdada.."Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?
Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??
Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
Ukiona kijana anafungua SREDI ya malalalamiko kuhusu pisi kali ujue kama mwendo haujamalizwa basi anaelekea kwenye cosmic journey yake🤣Wakipenda pesa mnawasakama kuwa ni gold diggers, wakiwavumilia hustlers, mnaona kama hawatambui thamani zao. By the way katika kitu ambacho sikipendi kukiona kwa mwanamke ni kuchukulia uzuri wake kama chanzo cha kuishi good life ambalo hawezi kuligharamia hata kwa thumni.
Kiufupi hakuna haja ya kumlaumu boyfriend wa mtoto mzuri ilhali yeye hana kikwazo au upungufu wa kutafuta pesa.. Atafute mwenyewe
Wana shida gani mkuuMabinti wa kimeru hao akuna mwanaume makini anaweza poteza muda nao
🙏🏽🙏🏽Well said...
Anatembea nao Baada au kabla ya kupanda?Kweli uzuri sio kila kitu kuna tabia na kujua thamani yako. Huyo mmoja ni mzuri na yupo hapa dar ila anatembea hadi na makonda wa daladala ili asidaiwe nauli ya 400 sijui mia 5. Halafu ni shoga angu. Huwa natamani hata nimchape makofi.
Ni kweli mkuu,na pia ni chanzo cha matatizo mengi sana..maana tunaishi matazamio ya jamii na sio kadiri ya uhitaji muhimu wa akili na nafsi zetu.Sana..umenena sawai.
Ujue mfuko wa elim yetu unatu subject kwenye ku gauge vitu katika mtazamo sawaa.yan unachowaza wewe unataka ndio kiwe kipimo cha wengine..tatizo kubwa
Can we say Amen to this!Kuna msemo wa wahenga wa kizungu unasema
You are a product of your environment.
Mwanamke mzuri utakayekutana nae kwenye mishe za utafutaji kama kazini. Ana tofauti kubwa na mwanamke mzuri utakayekutana nae mtaani hana mishe ya kueleweka.
Mfano hai. Kampuni za ukaguzi wa mahesabu zimejaaa sana wanawake wazuri. Mfano hai Miss Tanzania wa mwaka 2013 Happiness Watimanywa anafanya kazi hizo kampuni
Pia bar nyingi, na mitaa ya uswahilini imejaa wanawake wazuri.
Hapo ukiweka chance ya kupata mume wa maana ama tajiri.. automatic wanawake wakaguzi wa mahesabu wana nafasi kubwa. Sababu mazingira yao na kazi zao wanakutana na wanaume wa maana tu.
Mwanamke mzuri wa uswahilini anakutana wapi na CEO ama CFO wa Vodacom ?