kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
-
- #101
Mkuu elewa hicho kifaa kimekaa store miaka sita, aliye kinunua hayupo na nilishleta uzi humu kuhusu habari zake.Mkuu ulikinunua chanini? Kama hukununua wewe tafadhali omba idhini kwa aliye kinunua.
Hiya main switch ni nzima?Sawa mkuu bas ngoja nitafute mtu nimuuzie hata laki maana kimekaa tu hapa hom bila kazi yoyote.
Ni mpya kabisa haijawahi tumikaHiya main switch ni nzima?
Kama hayupo duniani na kama mali zake ulikabidhiwa wewe sawa, kama yupo duniani ni LAZIMA umjulishe maana ni mali yake sio yako.Mkuu elewa hicho kifaa kimekaa store miaka sita, aliye kinunua hayupo na nilishleta uzi humu kuhusu habari zake.
Mkuu hilo halina shakaKama hayupo duniani na kama mali zake ulikabidhiwa wewe sawa, kama yupo duniani ni LAZIMA umjulishe maana ni mali yake sio yako.
Mali halali hujui hata bei yake?na ukute hujui hata matumizi yakeSina lakini hiyo ni mali halali kabisa.
Bei tayari nimejua ni laki na nusu, matumizi yake ni ya umeme...Mali halali hujui hata bei yake?na ukute hujui hata matumizi yake
Hiyo ukitafuta fundi umeme ni chap unauza.Mkuu hilo halina shaka
Kwahiyo mkuu hii mali wewe unaitaka au kuna uwezekano wa kupata mtu?
Mimi natumia mshumaa mkuu
π€£π€£π€£π€£ Jamaa Hali ngumu ni jobless mpk ameamua kuuza tu hiko kifaaMimi natumia mshumaa mkuu
Hali ni π₯ π₯π€£π€£π€£π€£ Jamaa Hali ngumu ni jobless mpk ameamua kuuza tu hiko kifaa
Oya mimi sina njaa πππ€£π€£π€£π€£ Jamaa Hali ngumu ni jobless mpk ameamua kuuza tu hiko kifaa
Inakuwaje Mkuu π kiredio JrOya mimi sina njaa ππ
Kama Kawa mkuu, vp biashara umeionaje πInakuwaje Mkuu π kiredio Jr
Mkuu hii biashara imekaa on click au niwe Dalali wa biashara hii MkuuKama Kawa mkuu, vp biashara umeionaje π
Mkuu ukiwa dalili ni vizuri zaidi, chamsingi mali itokeMkuu hii biashara imekaa on click au niwe Dalali wa biashara hii Mkuu
Mali Bado ipo? Ipo mkoa gani ili nifanye mafekeche harakaMkuu ukiwa dalili ni vizuri zaidi, chamsingi mali itoke
πππMimi sivuti Bangi navuta Subra
Mali bado ipo, ipo DSM kimara au MwengeMali Bado ipo? Ipo mkoa gani ili nifanye mafekeche haraka
Ni mpya au used? Wewe unataka ngapi ili Mimi nijue naipiga vipiMali bado ipo, ipo DSM kimara au Mwenge