Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Nani mkuu sali bunzali.Umeikosea kdg tyuuh, ifanane na cheo cha uncle wangu.
RIP [emoji22][emoji22]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
hakuna hata mmoja aliyetaja kazi yake halisi isipokuwa Shimba ya Buyenze tu.Mnatoa comment zenu kwa masiala sana utadhan mmelazimishwa jmn. Masiala n mengi kweny hii thread
Mayai ya Nini, sijawahi kumsikia mnyama kuchemshaMimi natembeza mayai ya kuchemsha
Hahahaa. Mkuu nashukuru nimecheka leo na wakati huuMimi ni mbeba mikoba ya uganga, katika kamati ya ufundi ya timu mmoja wapo iliyopo kariakoo!
Hatuna Raha, tumekula hela ya uganga, mechi imeharishwa! Wenyewe wanataka hela yao.
Tunafikiria kutoa tamko Leo!
Mimi ni Mvuvi tu wa Bagamoyo na Nungwi.Wakuu
Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.
Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani anajiona mtemi,anafoka na kuwadharau wengine
Leo nataka tukate mzizi wa fitna, tujuane kwa umri na vyeo vyetu,heshima itarejea na ustaarabu utarejea jukwaani
Mimi ni mmachinga wa kuuza maji,karanga,soda na vitu vidogovidogo vya wasafiri katika stand X na mkoa X (utani)
Karibuni
Ya kuku wa kisasaMayai ya Nini, sijawahi kumsikia mnyama kuchemsha
mala zote umekuwa ukijisifia kuwa ni miongoni mwa wanainteligensia walidhawa/tukuka wa JESHI LA WANANCHI unapewa maagizo na wakuu wako kutembea nchi mbali mbali duniani hasa uganda. ulifukuzwa na kujikita katika uganga(hasa utabiri,umanju na ulozi wa simba) na uvuvi?Mimi ni Mvuvi tu wa Bagamoyo na Nungwi.
Aisee kumbe wee jirani yangu. Mie mwanan hi wako kazi yangu ni bodabodaM/kit wa kitongoji
Kaliua
Tabora.
Padre anakojolea pazuriMuke ya Padre
Uje kwa VEO tukupgie muhuriAisee kumbe wee jirani yangu. Mie mwanan hi wako kazi yangu ni bodaboda
Sasa kama wewe mwanzisha mada unafanya utani unategemea sisi wengine tuwe serious?Wakuu