Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

Ndaka, saidia fundi, pia mie kiraka popote nafit
 
Ni mimi nilieleta neno "have" hapa duniani "has" alileta trump
 
Ukijisifia ndiyo Kiswahili gani? Damn Fool.
 
Mganga wa kienyeji na mhudumu mstaafu wa mochwari na chumba cha kunyongea
 
uzi upo kwenye jukwaa la utani,unategemea wote watakaotoa majibu hapa wako seriously? Hapana tupo hapa kupoteza mawazo,kufurahi,kutaniana na kusubiri muda wa nyapu ufike tuzinyapue, au nakosea mtani wangu mzabzab mkaazi wa kaliua TABORA ?
Upo sahihi mkuu nakula viazi vitamu na asali hapa kaliua...karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…