Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Darali wa viwanja na nyumba za kukodi location uyole mbeya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha Asante Mkuu, nimefarijika umecheka!Hahahaa. Mkuu nashukuru nimecheka leo na wakati huu
Ukijisifia ndiyo Kiswahili gani? Damn Fool.mala zote umekuwa ukijisifia kuwa ni miongoni mwa wanainteligensia walidhawa/tukuka wa JESHI LA WANANCHI unapewa maagizo na wakuu wako kutembea nchi mbali mbali duniani hasa uganda. ulifukuzwa na kujikita katika uganga(hasa utabiri,umanju na ulozi wa simba) na uvuvi?
Kama vile Aliyekuzaa anavyokalia Kutwa Mtumbwi wangu.Kuna mmoja kazi ni kukalia mtumbwi kule bagamoyo
GENTAMYCINE
Mganga wa kienyeji na mhudumu mstaafu wa mochwari na chumba cha kunyongeaWakuu
Humu kumekuwepo na dharau za hapa na pale humu jukwaani.unakuta mtu anakushambulia,anakutukana kwamba mnalingana umri, cheo, au mali.
Unakuta mtu anadharaulika mtaani kwake lakini jukwaani anajiona mtemi,anafoka na kuwadharau wengine
Leo nataka tukate mzizi wa fitna, tujuane kwa umri na vyeo vyetu,heshima itarejea na ustaarabu utarejea jukwaani
Mimi ni mmachinga wa kuuza maji,karanga,soda na vitu vidogovidogo vya wasafiri katika stand X na mkoa X (utani)
Karibuni
Upo sahihi mkuu nakula viazi vitamu na asali hapa kaliua...karibu sanauzi upo kwenye jukwaa la utani,unategemea wote watakaotoa majibu hapa wako seriously? Hapana tupo hapa kupoteza mawazo,kufurahi,kutaniana na kusubiri muda wa nyapu ufike tuzinyapue, au nakosea mtani wangu mzabzab mkaazi wa kaliua TABORA ?
Wapi tuje tukuungisheMimi ni mama ntilie a.k.a mama lishe ( utani)😁😁
Natania mkuu sio mama ntilieWapi tuje tukuungishe
Ndio maana hahahaahM/kit wa kitongoji
Kaliua
Tabora.
hahahahahahahahahahaha.......Mganga wa kienyeji na mhudumu mstaafu wa mochwari na chumba cha kunyongea
Hehehe!!!zile hehehe zako